Kamishna Mkuu TRA Dr. Edwin P. Mhede, awanasa Wachina waliotaka kumpa rushwa ya dola 5,000/=. Wahukumiwa kulipa Tsh. Milioni 1 kila mmoja

Me mwenyewe ningetafuta kiki kwa kukataa unadaiwa bilion unaniletea milion 10 wajinga sana ao wachina
 
Bongo movies zenu tumezichoka bana ni uwongo mtupu huu atafuta Sifa kwa boss wake ili aonekane yuko msafi kumbe mpigaji Mkubwa tu hana lolote
 
Hongera sana, sasa mahakama imesukwa upya, mchina kaenda mahakamani jana leo kala faini ya 2m, yeye 1m na mkewe 1m na 11m zimekwenda, arudi iringa akatafute 1.3bn yetu
 
huyo mwnye richmond si ndio aliwanunua mkampa na ugombea urais kabisa, washenzi nyie.
 
Mtu kaweza kuhonga million kumi na moja anahukumiwa kulipa million 1 tu, angekua mzawa hapo angeambiwa kahujumu uchumi alipe million 100
 
Hii haikuwa kesi ya kuitangaza kama ilivyotangazwa. Yaani yeye angekataa tu na kuwaambia walipe tu hiyo kodi au angeicheki kuona kama kweli wamebambikiwa. Inawezekana kweli wamebambikiwa likodi likubwa kwani hii ndiyo kawaida ya TRA. Sioni mantiki ya kuipublicize kama ilivyofanyika halafu wamelipa faini milioni moja moja tu!!!! What is the big deal hapa!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…