Kamishna wa Ardhi msaidizi Manyara akabidhi hati kwa mwananchi

Wizara ya Ardhi

Govt Institution
Joined
May 14, 2024
Posts
306
Reaction score
165


Kamishna wa Ardhi Msaidizi Mkoa wa Manyara, Bwn. Erick Makundi, akikabidhi hati kwa mmoja wa wananchi waliojitokeza kupata huduma katika Kliniki ya Ardhi ya Mkoa, inayofanyika katika Viwanja vya Tanzanite, Kwaraa, Mjini Babati, kuanzia Septemba 22 hadi Oktoba 3, 2026
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…