Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Kamishna wa chama cha ukombozi wa umma CHAUMMA kwenye mikoa ya Katavi, Kigoma na Tabora Masanja Mussa katambi Amesema taarifa za kuwa wamenunuliwa kwenda CHAUMMA Ni uongo na walichokifanha ni maamuzi sahihi ya Kutafuta jukwaa la kuendelea kuwasemea Wananchi baada ya kuona hawatapata nafasi ya kugombea katika Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Kutokuwepo katika Mbio za uchaguzi.
Masanja ameyasema hayo wakati akizungumza na waandishi Wa habari kuhusu Maendeleo ya Chama hicho tangu Oparesheni ya Chaumma For Change (C4C ) kupitia mkoa wa katavi Mwezi June.
Masanja amesema Kuhusu mabadiliko ya mifumo ya uchaguzi ambayo yamekuwa yakipiganiwa na CHADEMA Ni muhimu kufanyika Lakini sio kuususia uchaguzi kwakuwa Ili kufanya Mabadiliko ni lazima kuwa na bunge lililo madarakani, Raisi pamoja na ngazi nyingine za Kiuongozi, hivyo kama hauna wabunge ni vigumu kupambana Mabadiliko.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025