Kamishna WA mechi Ya FINAL Amekiri kupokea BARUA Mechi INACHEZWA NEW AMAN COMPLEX...TFF ..Simba msiwahadae WANASIMBA waendelee kununua TKT

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
62,101
Reaction score
38,487
Kamishna WA mechi ya final
Amethinitisha kupokea BARUA Mechi ya final INACHEZWA new AMAN complex

Akihojiwa kamishna amesema UWANJA UKo vizuri na WAMEANZA matayarisho kwa AJILI ya final ya tar 25

Na meneja WA new AMAN complex amesema wamepokea BARUA na Toka mechi ya Simba hawajautumia kabisa wanaulinda kwa kusimamia vilivyo na wamepokea rasmi ujio huo na wao wamejiandaa kuwapokea mashabiki wote wapendwa SOKA

Kila la KHERI
Berkane
 
Mgonjwa wa afya ya akili, usiejua hata kuandika lugha ikaeleweka tuoneshe kidhibitisho Cha habari yako ikiwemo barua aliyotumiwa huyo.kamishna na video clip ikimuonesha kua amedhibitisha kupokea
 
Ivi watu wazito kuelewa, Hakuna namna yoyote mechi hii ikachezwa Ben Mkapa stadium kwakua CAF wamesha peleka Barua kwa wadau wote watakao husika na mchezo wa fainal ya mkondo wapili.

Berkane wamesha book hotel ya nyota tano msafara wenye watu karibu 100 na unakuta wamesha lipa zaidi ya asilimia hamsini ya gharama za hotel
Mashabiki wabMoroco wamesha anza kulipia gharama za hotel, Broadcaster naye amesha book hotel kwaajili ya Wataalam wake, Marefa, wageni wa CAF kutoka sehemu mbalimbali Duniani wamesha bukiwa hotel na CAF.

Kwa ujumla gharama za kurudisha mech Ben Mkapa ni kubwa na hakuna sababu ya Msingi.
Muda wa kubadili uwanja kikanuni ni ngumu kwa sasa.

Simba wanatakiwa waanze kusafirisha Wazee wafupi na Mbuzi wa kafara mapema .
Waagize viloba vya chumvi na mafuta ya upako mapema kupeleka visiwani.
Muda wa kulalamika haupo na panapo uzima tarehe 25 si mbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…