Hahaha we we mtu mchokoziNiupuuzi kufananisha Uchafu na miji ya watu
Daah Christ The King Church
Nakuunga mkonoNaijua vema kampala city lakin kiujumla huwezi kucompare dar city na kampala hizo ni picha tu kwa anaiijua vema k.city hatabisha japo kampala ni jiji lenye mzunguko wa pesa sana kutokana na bidhaa nyingi za uganda kuwa cheap,hivyo basi muingiliano wa watu ni mkubwa nimefanya biashara na watu tofautitofauti sana mfano wakongo,wakenya,na watanzania kimbilio lao ni UG lakini ni nadra sana kumuona mganda anakuja kununua mizigo tz coz pesa yako iko chini na vitu vya tanzania ni very expensive hiyo ndo UG wao wanaiita japo mpangilio wa jiji la kampala siyo mzuri sana compare na dsm.
Arusha kuna nini paleKumbe Kampala kama arusha tuu
[emoji23][emoji23]hatariArusha kuna nini pale
Ulinganishe na Kampala?
Jamaa wale huona wao ndio kila kituNdio ukweli huo sio uchokozi
Kampala Vs Kigali!!!Kumbe kampala imetulia
Safi sana .
Tuleteeni Kigali Vs kampala
Nakivubo stadium....nimekipiga apo standard high vs st marry kitendeKampala skyline
Huo mji hovyo tu sema kwenye picha unaogopesha ila live humo unacheza na vumbi tu jinja kupo cool sanaWekeni na picha za jinja tuone, Kampala panaboa
Siyo kweliKigali kwa usafi
majengo bado
Kigali ni mji mdogo sanaKigali kwa usafi
majengo bado