Kampala city Gallery

Kampala city Gallery

4b97bf1cce011313c27b8e0d2abf07a5.jpg
b97043e0c0dcccc57eb952b5f35f463a.jpg
Daah Christ The King Church
 
Naijua vema kampala city lakin kiujumla huwezi kucompare dar city na kampala hizo ni picha tu kwa anaiijua vema k.city hatabisha japo kampala ni jiji lenye mzunguko wa pesa sana kutokana na bidhaa nyingi za uganda kuwa cheap,hivyo basi muingiliano wa watu ni mkubwa nimefanya biashara na watu tofautitofauti sana mfano wakongo,wakenya,na watanzania kimbilio lao ni UG lakini ni nadra sana kumuona mganda anakuja kununua mizigo tz coz pesa yako iko chini na vitu vya tanzania ni very expensive hiyo ndo UG wao wanaiita japo mpangilio wa jiji la kampala siyo mzuri sana compare na dsm.
Nakuunga mkono
 
Ningependa kuona sanasana greeneries na parks but all in all,it's good...Champala
Btw nackia Waganda pia hujua kuupamba ufuo wa Ziwa Vicki kukaribia ule muonekano wa beach zetu za Bahari Hindi
All but love nikiwa Mombasa
 
Back
Top Bottom