Kampala city Gallery

Kampala city Gallery

Miaka 30!!!!
bora tuu sasa nani angejenga hapo?? ukicheki rais wa kwanza alikua mtu wa ajabu ajabu tuu asieshaurika hadi iddi amin nae akampiga chini japo nae hakufaya kitu?? marais waliomtangulia museven waliharibu nchi amani haikuwepo bora museven kaisimamisha nchi.

Akina mobutu wa drc wamefanya nini zaid ya kuharibu? hata joseph kabila hajafanya na pia sio raia wa drc
 
Nzuri. Wakati mwingine madicteta wanafanya yao. Kagame, Museven nk. Cheki Burundi siasa inavyomaliza nchi. cheki hata TZ maneno mengi lakini hakuna kitu. Kampala nzuri sana lakini Nairobi ni zaidi kidogo!
Mkuu nawe una mawazo kama yangu, kuna madikteta wengine wana nia njema na nchi yao. mfano huwezi linganisha idi amni, au obote na museveni. Museveni kaiweka nchi mahala pazuri sana toka ilipotoka huko
 
Mara zote dictator hana nia mbaya ila njia wanazotumia huleleta malalamiko na walalamikaji wakipiga kelele sana wanaweza wakamdictate kwa kelele zao akapotea njia!!
 
cdef181f12bcf732fd8fc0323b21a9dc.jpg
ec7d066702f700500e94edd50a03259e.jpg
92e66c1d1cb384bdd8385cd6f4888f2a.jpg
fe1c925a711ea21887f860b38df1dc48.jpg
0308f0cb4b9c1b7378a1397572760446.jpg
c0da9eec8104621f32e6a97d2e220b29.jpg
 
Nzuri. Wakati mwingine madicteta wanafanya yao. Kagame, Museven nk. Cheki Burundi siasa inavyomaliza nchi. cheki hata TZ maneno mengi lakini hakuna kitu. Kampala nzuri sana lakini Nairobi ni zaidi kidogo!
Naijua vema kampala city lakin kiujumla huwezi kucompare dar city na kampala hizo ni picha tu kwa anaiijua vema k.city hatabisha japo kampala ni jiji lenye mzunguko wa pesa sana kutokana na bidhaa nyingi za uganda kuwa cheap,hivyo basi muingiliano wa watu ni mkubwa nimefanya biashara na watu tofautitofauti sana mfano wakongo,wakenya,na watanzania kimbilio lao ni UG lakini ni nadra sana kumuona mganda anakuja kununua mizigo tz coz pesa yako iko chini na vitu vya tanzania ni very expensive hiyo ndo UG wao wanaiita japo mpangilio wa jiji la kampala siyo mzuri sana compare na dsm.
 
KuKucompare kiaje na Dar !!?
Fafanua kidogo hapo
 
KuKucompare kiaje na Dar !!?
Fafanua kidogo hapo
Angalia mpagilio wa jiji la dsm barabara,miundo mbinu mbarlimbali ikiwemo usafiri huwezi amini mpaka leo kamapala wanatumia vihiace kusafirisha abiria leo kampala bodaboda(tukutuku) mpaka katikati ya jiji lakini dsm ukingia na bodaboda,bajaji,au hiace ya abiria maeneo kama posta,kariakoo,msasani masaki n.k wewe ni mwanaume maeneo kama yale hayaruhusiwi kabisa.Kwa ufupi jiji la dsm leo hii kuna mabasi ya mwendo kasi yanayobeba abiria kampala tuwape miaka 7 kufikia hatua hiyo,kama umewahi fika dsm city morogoro road ilivyojengwa kisasa sehemu za kusubiri abiria(vituo) vimejengwa kisasa compare na barabara za UG huo ni kwa ufupi tu lakini pia majengo ya UG hasa ghorofa ubunifu ni hafifu wanajenga ramani ambazo ni common sana.
 
Back
Top Bottom