Kampala city Gallery

Kampala city Gallery

Kampala Uganda
c4690bb08c5097d945b59657afc0ad70.jpg
 
Huo mji ulikuwa mzuri sana
Vita ya kagera viliharibu mji huo
kwa hiyo tangu mwaka 1978/1979 hawahangaika kutengeneza?,Hiroshima walipigwa bomu la atomic,kama wangekuwa na mindset kama zako basi wangekuwa na sababu kubwa ziadi ya kusingizia
 
Kuzuri, very greenish, ila bado tumewapiga bao na Dar yetu..
 
Back
Top Bottom