kama huelewi kitu si uulize? sasa mba evening program unadhani ni ya miezi sita!!! agh!!!
Utasikia kina mikono ya mawaziri kwenye hicho chuo.kwakweli this government inabidi i take masuala ya elimu seriously..huko tunapokwenda hata sijui watoto wetu watakuja kuwa na maisha gani kwa mfumo huu wa elimu..
nobody cares kila mwenye nafasi anaangalia atafaidika vipi yy kama yy kupitia nafasi aliyonayo.. mh so sad..
Utasikia kina mikono ya mawaziri kwenye hicho chuo.
....bora wakifungie...na sitashangaa share holders wenye kumiliki hiki chuo ni vigogo serikalini....Hivi ndio vyuo vilivyoanzishwa kama uyoga ili kubeba ma feki yanayotokana na shule zetu....Chuo kinawezaje kutoa masters/PhD kwa kuwa na waalimu wenye masters tu??..au PhD za kuunga??.....The quality of university education can also be measured by the quality of university itself...but this fact seems to be taken differently by some universities in TZ....this one being among....
very possible..nchi hii kila kitu kinawezekana ndugu yangu.
Chuo kikuu cha Kampala tawi la Tanzania (KIU) kimefungiwa na TCU kutoa mafunzo yote ya shahada za juu (Postgraduate) ikiwa ni pamoja na Shahada za Uzamili (Masters) na Shahada za Uzamivu (PhD) kwa kutokuwa na sifa stahiki za wahadhiri wa kutoa mafunzo hayo.
TUESDAY, MAY 07, 2013
kama mnakumbuka kuna kipindi uliletwa mtihani wa hiki chuo hapa JF wa somo la computer ambao ulikuwa unasikitisha kweli ulikuwa kule jamii photos
probably TCU walianzia hapa Jf na kuamua kufuatilia!
vipo vingi tu vyuo kama hivi kama una mdogo wako anataka ajiunge kusoma udaktari tafadhali umasiki wako usikuponze kuchagua st francis ifakara ni tawi la sauti support tcu
kile chuo sikielewagi