Kampala University mnatuchosha na hizi MPP zenu

haha eti unasoma cell types mtu wa bachelor..duh

si sekondari mliwacheka waliokuwa wanakomaa na kitabu kwamba wametumwa na kijiji? sasa wenzenu wako muhas, bugando na kcmc wanakula nondo za maana na wanafundishwa na lecturers wenye credibility na experience ya kutosha.
 
Kitabu cha medical ni kilekile aise hasa Bpharm hakuna cha muhas wala wap kwasababu lecturer ni walewale wanazunguka vyuo vyote karibia soo no doubt!!
 
Cha ziada ambacho m2 anayesoma kiu ni kwamba chuo kile ni international na sio hvi vyuo vyetu vya local
 
Cha ziada ambacho m2 anayesoma kiu ni kwamba chuo kile ni international na sio hvi vyuo vyetu vya local
Kampala Int. hakina tofauti kwenye ufeki na elimu ovyoovyo kama IMTU!, sidhani kiubora wa taaluma Kampala Int inaingiza pua pale muhas au kcmc
 
Ukisoma mtaala kozi zote ni zile zile sawa na huko muhas na kcmc kwa kipindi cha miaka yote mitano au minne.
 
Ukisoma kampala ukashindwa kupata first class wewe ni kilaza namba 1 duniani.
 
Iilikuwa ud na udom sasa ni Kampala na Muhas na wenzake#maisha yako kasi sana kesho sijui itakuwa nani na nani.
 
Iilikuwa ud na udom sasa ni Kampala na Muhas na wenzake#maisha yako kasi sana kesho sijui itakuwa nani na nani.

Huwezi linganisha kampala na MUHAS ni sawa match kati ya askari magereza na wafungwa. .
 
Hivi hicho nacho chuo??? Na wewe umekosa vyuo vyoooote mpaka uende hicho!
 
hamjielew bado nyie mnaosema kampala c chuo, ww ulyeulza kampala nacho chuo mchukue baba yako mkaulzb TCU ksha uje uulze maswali ya kijinga zmaaaaa!mm pia ni mwanafunz wa kampala
 
Kweli dunia ina mambo?hata hawa wakosaji KIU wanajifananisha na MUHAS,BUGANDO au KCMC,duuh yaan hata aibu hamna,eti unajisifia international wakati hata practical mnakwenda muhimbili kuwaramba miguu,machizi kweli nyinyi,muna hata clinic hapo kwenye chuo chenu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…