KabelindeDidier
Member
- Aug 29, 2013
- 58
- 8
Yaan hz coz za MPP kwa upande wa medical course yaan hazina issue bora mzitoe tu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haha eti unasoma cell types mtu wa bachelor..duh
Kampala Int. hakina tofauti kwenye ufeki na elimu ovyoovyo kama IMTU!, sidhani kiubora wa taaluma Kampala Int inaingiza pua pale muhas au kcmcCha ziada ambacho m2 anayesoma kiu ni kwamba chuo kile ni international na sio hvi vyuo vyetu vya local
Cha ziada ambacho m2 anayesoma kiu ni kwamba chuo kile ni international na sio hvi vyuo vyetu vya local
Iilikuwa ud na udom sasa ni Kampala na Muhas na wenzake#maisha yako kasi sana kesho sijui itakuwa nani na nani.