ni kweli wameshaona mapungufu ila watafunika kombe mwanaharamu apite kwa kuwapa onyo tu, manake tatizo ni watakapo pelekwa hao wanafunzi wa hivyo vyuo kama kiu, pharmacy wanachukua wanafunz 200, watawapeleka wapi na kwa vyuo vya serikali ni muhimbili ndo ina pharmacy.