KabelindeDidier
Member
- Aug 29, 2013
- 58
- 8
Serikali iko mbioni kuvifungia vyuo hvo kutokana na kukosa mitaara na wataalam wakufundisha vyuo hvo.....je mda wote TCU ilikuwa wap had watu wanaliwa pesa zao na inakuwaje tcu wanapeleka wanafunzi kwenye vyuo vibovu hivo