tikitaka men
JF-Expert Member
- Sep 6, 2013
- 216
- 58
kamati ya bungee vipi nayo aijafika?mtujuze humu yaliyojili mnakawaida ya kutuambia matatizo yenu tu mkifanikiwa mnakimbia javini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ipo ivi uyo serotherapy sikuzote namwambia humu javini Kuna watu tofauti embu angalia comment zake nyingi za kuponda wenzake,nenda kwenye uzi wa st Joseph arusha angalia alivyoandika mule Yani uyu jamaa afikirii kabisa usitumie neno general kijana,serotherapy anasoma mbeya chuo fulani kipo mule hospital ya rufaa ni cha serikali anasoma diploma,wengine humu wamepita humo humo so Kua makini na comment zako za kuponda wenzako,vijana wazalendo wenye sifa za kusoma kiu na st Joseph arusha komaeni mpaka kieweleke.
duh vijana muna mambo?Ipo ivi uyo serotherapy sikuzote namwambia humu javini Kuna watu tofauti embu angalia comment zake nyingi za kuponda wenzake,nenda kwenye uzi wa st Joseph arusha angalia alivyoandika mule Yani uyu jamaa afikirii kabisa usitumie neno general kijana,serotherapy anasoma mbeya chuo fulani kipo mule hospital ya rufaa ni cha serikali anasoma diploma,wengine humu wamepita humo humo so Kua makini na comment zako za kuponda wenzako,vijana wazalendo wenye sifa za kusoma kiu na st Joseph arusha komaeni mpaka kieweleke.
Kampala wanafunzi wote wa hapo 97% wamefeli form six
Na wengine walitemwa na system ya TCU awamu ya kwanza na kuapply kwa pressure ya kukosa chuo wakakimbilia huko mgeenda diploma au cheti au mkawa walimu mnaanza kulaumu mliyoyataka wenyewe tulieni kama hamna vigezo ondokeni acheni lawama kwa failure zenu
Simgekuwa
Kcmc,muhas,udom
Hamkupaona hapo au uliomba ukakosa hatutaki madaktari vilaza