Kampala universty of dar es salam

Kampala universty of dar es salam

Joined
Aug 5, 2012
Posts
34
Reaction score
0
Naomben kujua kuhus hiki chuo jaman coz nimeapply ktk second selection bt sijui jinsi kilivyo na mazingira yk,na kwa wale walioapply tuonane asee
 
Chuo kipo gongo la mboto,mazingira tulivu,madarasa yapo..ila majengo mengine yanaendelea kujengwa lakini yakimalizika chuo kitakuwa kizuri zaidi,pia kuna hostel za chuo ambazo kuna cha mtu mmoja au 2 people per room,halikadhalika kuna vya nje pia. Walimu wapo wakutosha. Kazi kwako

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Nahisi kwa sababu secnd selection ni first come first serve"kwan tuliaapply
chuo kimoja tu na hicho unachopangiwa
 
Yap,kama uliandikiwa YES ndo chako mzazi.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
utakoma kwa ada..lakini huwezi kufeli hata ukiwa kilaza vp..wanajal chapaa tu hao..
 
pale we peleka tu ada yao urud nyumbani ukalale for three years af uende kuchukua cheti na usishangae kukuta una A nyiiiiing kuliko hata idadi ya masomo ulopaswa kusoma kiufup hiki chuo sio chuo bali kimepewa tu jna hilo
 
du!hiyo sasa ni hatari,,,,,.yaani kulala tu...na unapewa degree....!acha weeeeeee...!KAMPARA HAWA....''unauwakika lakin?:kev:
 
pale we peleka tu ada yao urud nyumbani ukalale for three years af uende kuchukua cheti na usishangae kukuta una A nyiiiiing kuliko hata idadi ya masomo ulopaswa kusoma kiufup hiki chuo sio chuo bali kimepewa tu jna hilo

100%..mm mchz wangu alikua anasoma pale but kila cku yupo mozambique anafanya biashara..na ametoka na upper 2nd..yaan wale hawafai kabisa.
 
kama kawaida pale wanafanya biashara,kwa hiyo kachukue degree yako yenye GPA kali ya first class afu wakati huo unaweza kuwa mjasiriamali mtaani kwa sababu ni full bata,ila pia nakupa hongera kwa kutochaguliwa UDSM kwa sababu ungedisco first semester unaonekana ni kilaza
 
wacha hiyo wewe, anaonekana umemwona? watu wengine bana. kujitia kiiichwa kumbe lichwa limejaa uji
 
Naomben kujua kuhus hiki chuo jaman coz nimeapply ktk second selection bt sijui jinsi kilivyo na mazingira yk,na kwa wale walioapply tuonane asee

ww kwan unaish wap? Kama ungekuwa unaish dar ucngechagua chuo kama banda la kuku ila kpo g mboto mwsho
 
bwana oil sumu mshauri mwenzako sijui nani alimshauri achague chuo hicho cha kampala,jamaa inawezekana anaishi pande za ziwa nyasa na anang'ang'ania kuwa raia wa malawi,dar hajawahi fika
 
afu ww hoshea jiheshimu unaonekana wale wale vizazi vya mulugo
 
Sasa wadau mbona mnamzodoa kijana? Maji yashamwagika nyie mpeni location za chuo kwamba ni pale Goms mwisho.. Chuo kina mazingira mazuri.. Ukiwa chuoni hutakanyaga vumbi.. Kuna migorofa inaendelea kujengwa.. Halafu kuna mibasi utaikuta imepaki pale ambayo nahis ni kwa ajili ya staff Mvmt.. Usiwe na wasi elimu ipo kama utaongeza na jitihada binafsi.. Kuhusu mkwanja sina hofu na wewe ndo maana ulipachagua.. Hapo ndio KIU..
 
Back
Top Bottom