Kampala universty of dar es salam

Kampala universty of dar es salam

Kuna kipindi kilifungiwa kwa kukosa hadhi. Hivi iliishia wapi hyo ishu..??
 
Duh why KIU? Sikushauri uende huko, huwa kina scandal nying nying, kiufupi hawana academic intergrity, watch out
 
Naomben kujua kuhus hiki chuo jaman coz nimeapply ktk second selection bt sijui jinsi kilivyo na mazingira yk,na kwa wale walioapply tuonane asee

Bosi jiandike kwenye mgongo umeumia, Wanataka pesa kishenzi kama kwenu muna shamba jiandae kuajiri wa kukulimia ili upate pesa haraka haraka la sio hivo. Utaomba ardhi ipasuke kwanini umemaliza form six Tanzania
 
Back
Top Bottom