Kama unataka kwa Level ya Barchelor angalia Guidebook ya TCU 2014/2015 KUNA COURSE ambazo unasoma Distance Learning kwa KIU ila ada zao ndio zipo juu,, miaka miwili au mmoja na nusu iliyopita ilikuwa na matatizo sana mpaka TCU waliingilia kati,, but kama ni Mastars unaweeza ukasoma,, though Open kipo Vizuri na kuhusu hoja ya kwa Kiwango cha Elimu is not an Issue, the issue is on how did you kick the ball,,kiwango cha chuo kinaweza kikawa kipo juu lakini wewe ukawa chini,, therefore which is which? Na woga wako wa Nauli au daladala is not an issue in dispute,, the issue is education,,,,,,Kuna watuwanatoka Chanika MWISHO wanasoma UDSM, kuna watu wanatoka Kongowe wanasoma KIU, kuna watu wanatoka Kigamboni wanasoma KIU, kuna watu wanatoka Bagamoyo na wanasoma UDSM aCHA WOGA