Strawberry
JF-Expert Member
- Nov 29, 2012
- 274
- 108
Naombeni msaada nataka kwenda kuongeza elimu wapenda hivyo nataka kujua kuhusu vyuo hivyo KIU na OUT.maana nimeona KIU ada zao zipo juu tofauti na OUT.
Ila nina mashaka na KIU kama elimu yao ni lege lege kiasi flani.embu wajuzi mnijuze jamani nisije kufanya maamuzi yatakayo nipa shida hapo mbele.
Ila nina mashaka na KIU kama elimu yao ni lege lege kiasi flani.embu wajuzi mnijuze jamani nisije kufanya maamuzi yatakayo nipa shida hapo mbele.