Kampani kabambe itakayokuwepo wiki ijayo.

Naomba Demiss asikose venue tusiiweke wazi hapa kwa sababu za wazi kabisa
 
Jaman msisahau mapicha tu hiyo siku mkikutana sawa
Nilitamani haraka kujua umeandika nini maana nilijua offer itakuvutia labda, kumbe umeipisha ipite zake [emoji1]
 
Hiyo part hajatajwa mtu mahsusi hata wewe unaweza kuja ..Fanya mawasiliano na Mshana mapema ili aandae list na wewe ukiwemo.
Kwahio bangi zitakuwepo? Mimi pombe nimeiweka pembeni kwa muda sasa. Kama bangi zipo mshana jr niweke, kama hakuna nitakwenda kwa kimaro kesho kununua yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…