Kampani kabambe itakayokuwepo wiki ijayo.

Kampani kabambe itakayokuwepo wiki ijayo.

Habari zenu mabibi na mabwana.
Wakubwa na wadogo wake kwa waume.

Haya nimekuja tena kwa mara nyingine kuwapa ofa kwa wale tu ambao wapo ndani ya mkoa Dar.
Ofa itahusisha watu watatu wadada wawili na mpambe mmoja wa kiume ambapo makutano yetu tutapnga kupitia hapa hapa kwa ajili ya kwenda kupata vinywaji mbali mbali.

Siku za makutano ni siku za wikiend kuanzia saa tisa mpaka kumi na mbili au saa moja usiku.
Bila kumsahau best yangu Mshana Jr atakuwepo siku hiyo. Atanipa ratiba yake ya kazi ili tuandae meza mapema kwa ajili ya wageni wetu.

Vinywaji vitakavyotumika...
* Soda.
* Maji.
* Bia nakadhalika.
Kama nilivyosema hapo awali nafasi zilizopo ni za watu watu watatu wanawake wawili mwanamme mmoja na sisi wawili, mimi na Mshana Jr.

Kuhusu matumizi: naomba tuwekane wazi. Bajet ni laki mbili kwa ajili ya kula na kunywa mimi mwenyewe nitagharamia.
Nauli hazitahusika kutoka kwangu eneo litakalopangwa kama upo mbali pumzika.

Lingine: hakuna pesa itakayoondoka ukiona huwezi kula pumzika wengine waingie mzigoni.
Mumezowea kuona kama natania lakini kama hakujitokeza mtu hata mmoja part yetu itanihusu mimi na Mshana tu kama ilivyofanyika Mabibo na picha tutawatumia.
Naomba Demiss asikose venue tusiiweke wazi hapa kwa sababu za wazi kabisa
 
24/7
1520644116041.jpg
 
Hiyo part hajatajwa mtu mahsusi hata wewe unaweza kuja ..Fanya mawasiliano na Mshana mapema ili aandae list na wewe ukiwemo.
Kwahio bangi zitakuwepo? Mimi pombe nimeiweka pembeni kwa muda sasa. Kama bangi zipo mshana jr niweke, kama hakuna nitakwenda kwa kimaro kesho kununua yangu.
 
Back
Top Bottom