Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,959
- 24,935
Kampani yako ni watu wa aina gani?
Kwangu kwanza kabisa kuna mshikaji wangu mmoja hivi napiga nae dili za kiepe yeye ndio huwa tunakaa kubadilishana mawazo juu ya biashara changamoto na jinsi ya kuwini sometime ata kuinuana mtaji pale inapotokea mmoja wetu hali ni tete mambo kwenda vibaya,
Wa pili huyu mshikaji wangu wa forex akishatoka kutrade na kuunguza acount yake huko basi siku nzima huwa nakuwa nae ananipa kampani sana wakati wa kumenya viazi, huwa tunapiga sana story za hapa na pale huku kazi ikiendelea inshort huyu ni jamaa yangu A.K.A mchizi wangu,
Wa tatu huyu huwa huja kijiweni na vistory vyake vya kuchekesha kijiwe huwa hakichachi ila asipokwepo siku moja tu huwa panapoa sana ni mchizi wangu wa ukweli sana na huwa nammisi ata nikiwa somewhere mbali kwa sababu tu ya story zake ukiachilia story tu ni mshikaji wa kunipiga tingi sana huwa anagongea ata mia ya Ice cream hivyo tu huwa naona nimuone ni mwanangu wa faida sana,
Wa nne huyu ni jamaa yangu Wa zile mambo zetu baada ya kazi huwa tunaungana kwenda kusaka vilevi vyetu (papuchi) hakika huyu jamaa ndie ninaeshindana nae hapa kitaa kwenye kuwala,
Kila chimbo lazima tuwe wote ni mwanangu sana yuko tayari kunilipia pay kwa demu mkali ili tu ndugu yake nisitoke kapa nikapate Utamu,
Je wewe kampani yako ni watu wa aina gani?
Cc Zero IQ