Elections 2010 Kampeni chafu zaendelea dhidi ya CHADEMA

watu wa rombo wana uwelewa mkubwa sana na hawana tabia ya kumuona mtu mungu
kwa taarifa yako rombo mramba anapumulia kwenye mashine
mramba anaandikwa sana magazeti ya mjini na watu ambao sio wa rombo ndio wanamjua mramba, lakini ukienda rombo jina ni moja tu Joseph 30
 

naona wana CHADEMA forum tunaendelea kpambana na CCM KWA HALI NA MALI.KAZA BUTI.
 
Katika mkutano wa mgombea diwani kata ya sombetini ukiwa unaendela vijana wawili walitokea na kukata kata nyaya za vipasa sauti hivyo kufanya mkutano usimame kwa muda takribani dk10, vijana husika walichezea kipigo kutoka kwa mgambo huku polisi wakishuhudia mgambo wakionyesha umahili wao kabla ya kiongo mmoja wa CHADEMA haja waombea msamaha baada ya kugudua vijana wale walikuwa wamelewa baada ya hapo nilielekea Sombetini kulilkokuwa kunaendelea na mkutano wa Lyimo (mgombea ubunge kupitia TLP) anaedaiwa na mmoja ya wanajamvi wa JF anaejiita NGONGO kuwaanakubalika mno hasa sombetini jamaa hakuwa hata na watu 60....lakini nako kulizuka songombingo uliopelekea kijana mmoja mwenye asili ya kiarabu kukamatwa pamoja na vijana wawili kwa madai wamefanya funjo....Niliwauliza watu walikuwepo mahali hapo kabla ya mkutano walidai kija huyo alifika na gari dongo picha hapo chini akiwa akiendesha kwa kasi na kulizungusha mara 2 kabla haja park na kutoa bendera ya chadema iliyokuwa kwenye gari lake baada ya hapo akaingia kwenye baa iliyoko karibu na kuanza kupata bia na nyama choma kwani mahali hapo ndiyo sehemu yake, baada ya tukio hilo viongozi wa TLP walipiga simu polisi wakidai wamefanyiwa fujo polisi walifika eneo husika mida ya saa 12 jioni na kulikamata gari husika na dereva na vijana walioonekana kumtetea kija huyo wakidai kuwa anaonewa kwani mkutano ulikuwa haujaanza na baada ya kuambiwa mahali hapo kuna mkutano alitoa bendera, ilifikia mahali vijana wa sombetini wakatamka kufanya fujo ndipo viongozi wa TLP walipo sema basi yameisha kumbe ilikuwa ni kuwazuga ili watoke eneo husika kwani kuna kiongozi aliwaita polisi pembeni kabla haja panda kwenye gari lake na kuondoka na ndipo polisi walipo anza halakati za kuwa kamata vijana hao, baada ya vijana kuona bunduki na niliona wamekuwa wadogo kama pilitoni nikasikia wakitoa kauli kama ndiyo hivyo basi kura zote ni kwa chadema na kama ni diwani ni bora hata wampe wa CCM kuliko unafiki unaofanywa na TLP kujaribu kujifanya wamefanyiwa fujo wakati hakuna fujo iliyo tokea nilijaribu kuwa dadisi kwanini wakati kijana alikuwa nahatalisha amani mahari hapo walisema pale ni barabarani na kuna baa 2 zimezunguka, mkutano ulikuwa haujaanza, kwa jinsi ilivyo kuwa ilikuwa ni vigumu kugundua kuwa kuna mkutano (watu walikuwa kama 20 wakati watukio) na kijana alikuwa ameya twika + ukizingatia yule kijana alikuwa amefungulia mziki…..
 

Attachments

  • kijana alieletafujo chadema2.jpg
    30 KB · Views: 33
  • kijana alieletafujo chadema.jpg
    47.6 KB · Views: 32
  • umati1.jpg
    37.7 KB · Views: 32
  • umati.jpg
    35.8 KB · Views: 31
  • 171010sombetini vijana wakizona na polisi.jpg
    31.1 KB · Views: 32
  • 171010sombetini.jpg
    25.3 KB · Views: 27
  • mmamaakigawa picha za lyimo.jpg
    34.7 KB · Views: 31
  • umatiukifatilia mkutano.jpg
    47.9 KB · Views: 31
  • gari husika.jpg
    29.8 KB · Views: 28
Heshima kwako Craswise,

Acha uzushi Godbless Lema hawezi kupokelewa TLP hata kwa dakika moja anajulikana ni mfanyabiashara mzuri ndiyo maana aliuza ubunge na diwani wa upinzani mwaka 2005.
Hivi mkuu upo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…