Kampeni dhidi ya J.M. Kikwete, I.G.P S. MWEMA, na kamanda KAMUHANDA kupelekwa I.C.C

Kampeni dhidi ya J.M. Kikwete, I.G.P S. MWEMA, na kamanda KAMUHANDA kupelekwa I.C.C

mimi kwenye barua yangu nita-attach ile video ya pinda akisema 'wapigwe tu'
 
Ndio umeandika nini mkuu hakuna case ya kupeleka ICC wewe na wapuuzi wezako hao wanaokushauri vibaya umeona ulete uzi wakijinga huu kwani tanzania kuna vita?
 
Kuna watu wana akli za kitoto sana...

ZeMarcopolo.
Vijana wa Bavicha.

Kama Mmeshindwa ku Summarize maoni ya watu wenu kwenye Rasimu mkaishia kupeleka Mi box 17 huko kwenye Email si ndo mtatia Aibu, eti mnahamasishana mtume kwa wingi, nan kakwambia Wingi wa Email ndo kushinda kesi? Pier Bemba ni Mpinzan wa kule Kongo lakini hivi sasa yuko nyuma ya Nondo za the Hague, bora waanze na Igizo la Arusha lililoishia kupoteza Maisha ya wapendwa wetu!

1. Hii inaitwa Cheka Bombastik.

2. Ongea Zaidi.

3. SMS Zaidi.

4. Peruzi Zaidi.

Ndio umeandika nini mkuu hakuna case ya kupeleka ICC wewe na wapuuzi wezako hao wanaokushauri vibaya umeona ulete uzi wakijinga huu kwani tanzania kuna vita?

Ukipata ujumbe uhuu:

FUTA DELETE KABISA.....

Njaa zisiwaafanye mjitoe ufahamu.. Mcheza Karate keep it up
 
Last edited by a moderator:
bangi hupoteza akili na kuwa kichaa na atakayechangia hii kwa mada hiyo ni mvuta bangi pia
Nimejawa na furaha ya
ajabu mchanawa leo kwa mara ya kwanza nimepokea barua pepe kutoka
international criminal court(ICC).

Mnamo tarehe 27/08/2013 nilituma barua pepe kwenda ICC nikiomba ufanyike
uchunguzi juu ya mauaji yanayoendelea Tanzania ikihusisha jeshi letu la
polisi.

Ktk kutia uzito nilituma maelezo marefu nikiambatanisha video na picha
katika matukio mbalimbali kuanzia:

-Tukio la kuuawa Daudi Mwangosi, Nyororo-Iringa,jioni ya
tarehe 02, septemba 2012 (niliambatanisha na picha),


-Tukio la mauaji ya Songea, polisi walipopiga risasi raia kama wanaua
digidigi, tarehe 22,februari 2012 (niliambatanisha na picha),

-Mauaji ya Arusha, wanachama wa Chama cha Demokrasia na
maendeleo(CHADEMA) Januari 05, 2011 (niliambatanisha video),

kwa ufupi polisi kwa mwaka 2012 pekee wameua raia 20 ktk mikoa ya
Ruvuma, Mara, Dar es Salaam, Morogoro na Kagera pekee.


Niliandikia kitengo cha uchunguzi nikitarajia kuwa sitojibiwa lakini
nilijibiwa nikiambiwa kuwa watafanyia kazi na watanijibu. Imenipa faraja
sana kwa kweli. Tumepata mwanzo mzuri.

Lakini napenda kuomba kwa wale wanaoitakia mema nchi yetu na wenye
kukerwa na namna polisi walivyogeuka miungu watu, wanavyoua raia.

Tutume ujumbe wa kutosha kwenda ICC kitengo cha uchunguzi tukiomba
kufanya uchunguzi kwa tuhuma za uvunjaji wa haki za binadamu/makosa
dhidi ya uhalifu wa kibinadamu(crimes against humanity).

Watuhumiwa wakubwa ni Jakaya Mrisho kikwete, IGP Saidi Mwema
na Kamanda Michael Kamuhanda,


Tutume ujumbe wa kutosha ili kuwaamsha ICC, Huku tukitoa vielelezo namna
walivyohusika na mauaji ya raia.

Tuma vielelezo vya picha au/na maelezo kwenda kitengo cha uchunguzi wa
mashtaka ICC kwa anuani hizi hapa;

Information and evidence unit office of the prosecutor,
post office box 19519, 2500CM, The Hague, Netherlands.
Email: informationdesk@icc-cpi.int,
Nukushi: +(31) 705158555.


Tafadhali jitahidi kutuma pasipo kujali itikadi ya chama chako.
 
Unaweza uka declare interest zako kwanza kwenye hili Jambo, isije ikawa unataka kutu drag kwenye jambo lako binafsi! Nikimaanisha nataka kujua sababu za wewe kufanya hivi kabla na mimi sijachukua maamuzi ili kama nikiamua kufanya hili iwe ni kwa manufaa ya Taifa na siyo yako binafsi!


Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

kuuawa kwa watu bila hatia kwako sio tatizo??? kila mtu anawajibu wa kuhakikisha haki za binadamau hasa ya kuishi inatekelezwa hauhitaj mtu kukwambia!!!
 
Hii ni forum ukipost tegemea watakaokudis pia!hauko kwenye vurugu ya ccm na chadema(acording to you),lakini what you are doing is unwise,kwani unafikiri jk atang'aa macho wamfunge!.hujui vita vya fahali anaeumia nyasi!?. Vyombo vya haki za binadamu vipo,waliofanya unyama wapo wao ndio wafanywe mfano na wanaowafuunika ili wengine waogope.co kuchochea mambo mengine asee af mtu akisema his mind unamind!.situation yetu tz ni tete tumesimama na kidole af una tutwisha mzigo..
 
Tangazo hili limedhaminiw na wafadhili wa Chadema, Uingereza na Ujerumani
 
Back
Top Bottom