Kampeni dhidi ya J.M. Kikwete, I.G.P S. MWEMA, na kamanda KAMUHANDA kupelekwa I.C.C

mimi kwenye barua yangu nita-attach ile video ya pinda akisema 'wapigwe tu'
 
Ndio umeandika nini mkuu hakuna case ya kupeleka ICC wewe na wapuuzi wezako hao wanaokushauri vibaya umeona ulete uzi wakijinga huu kwani tanzania kuna vita?
 
Ukipata ujumbe uhuu:

FUTA DELETE KABISA.....
 
Kuna watu wana akli za kitoto sana...

ZeMarcopolo.
Vijana wa Bavicha.


1. Hii inaitwa Cheka Bombastik.

2. Ongea Zaidi.

3. SMS Zaidi.

4. Peruzi Zaidi.

Ndio umeandika nini mkuu hakuna case ya kupeleka ICC wewe na wapuuzi wezako hao wanaokushauri vibaya umeona ulete uzi wakijinga huu kwani tanzania kuna vita?

Ukipata ujumbe uhuu:

FUTA DELETE KABISA.....

Njaa zisiwaafanye mjitoe ufahamu.. Mcheza Karate keep it up
 
Last edited by a moderator:
bangi hupoteza akili na kuwa kichaa na atakayechangia hii kwa mada hiyo ni mvuta bangi pia
 

kuuawa kwa watu bila hatia kwako sio tatizo??? kila mtu anawajibu wa kuhakikisha haki za binadamau hasa ya kuishi inatekelezwa hauhitaj mtu kukwambia!!!
 
Hii ni forum ukipost tegemea watakaokudis pia!hauko kwenye vurugu ya ccm na chadema(acording to you),lakini what you are doing is unwise,kwani unafikiri jk atang'aa macho wamfunge!.hujui vita vya fahali anaeumia nyasi!?. Vyombo vya haki za binadamu vipo,waliofanya unyama wapo wao ndio wafanywe mfano na wanaowafuunika ili wengine waogope.co kuchochea mambo mengine asee af mtu akisema his mind unamind!.situation yetu tz ni tete tumesimama na kidole af una tutwisha mzigo..
 
Tangazo hili limedhaminiw na wafadhili wa Chadema, Uingereza na Ujerumani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…