Watanzania Tuache Roho Za Husuda Na Choyo,watu Tunajifanya Wapenda Na Watenda Haki Sana,kuna Mtu Anasema Tofauti Ya Chisano Na Mkapa Ni Mbingu Na Nchi!!!
Huyu Mzee Anatufahamu Sana Watz Kuliko Kitu Kingine,hatupendi Mafanikio Ya Wengine Always Mimi,uzushi,kashfa N.k
Nilifuatilia Sana Yaliyompata Mzee Mungai Kule Iringa,kama Kweli Wana Jf Ni Waungwana,sikutarajia Kuona Ushabiki Wetu Dhidi Ya Mungai Na Maamuzi Ya Wana Ccm Mkoa Wa Iringa. Mimi Nathubutu Kukiri Mufindi Ni Kielelezo Cha Maendeleo Ya Mtanzania Na Pia Ni Ushahidi Tosha Kuwa Mungai Hataondoka Ktk Historia Yao Ya Maendeleo Hata Kama Ana Madhaifu Yao. Angalia Walivyomnanga Na Kumuita Mkenya Na Blablaa,leo Mtu Anataka Aungwe Mkono Kumuangamiza Mtanzania Mwenziwe Eti Kwa Sababu Ya Kutofautiana Kimsimamo!!!!
Salim Alipigwa Vita Na Wamarekani Kule Un,butros Naye Pia Mtu Pekee Ambaye Alipingwa Na Waafrika Ni Koffi Annan-warwanda Hawataki Kumsikia Lakini Afrika Ilikemea Hilo.
Tanzania ,tanzania ,nakupenda Kwa Moyo Wote