Mabibi na mabwana heshima kwenu.
Nimesikiza kipindi hiki "Meza Huru" ITV leo. Katika kipindi hiki watu mbali mbali walikuwa wakihojiwa kulingana na mwenendo wa kampeni.
Sikia mambo hapa kwa ufupi, mwelekeo mzima ndivyo hivyo ulivyo kuwa:
View attachment 1591347
Bila ya mapendeleo huyu bwana anauelewa kuliko hata wagombea.