Best Daddy
JF-Expert Member
- Apr 2, 2019
- 950
- 1,672
Actually,Wewe utamchagua magufuly
Mimi nitamchagua TUNDU LISSU
kila mmoja ashinde mechi zake
Jisemee nafsi yako bidada.Actually,
Magufuri=90% ya kura za wananchi wakitanzania.
Zilizobaki tuwaachia nyie na marais wengine wote.
Ila chonde chonde mkiona Mmeshindwa msiingia barabarani kama mlivyosema.
Ushindi wa Mwaka huu ni Wa haki kabisa bila wizi| hujuma yoyote.
Pale penye Umoja na Ushikamano katika kila kauli tunatumia, WE (sisi).Jisemee nafsi yako bidada.
Ni idiot peke yake anayeweza kuzisemea nafsi za watu
Watanzania wanataka uhuru na haki ndani ya nchi yao. Watanzania hawataki kuonewa na kunyanyaswa na kutukanwa ndani ya nchi yao. Ndiyo maana kipindi cha miaka 5 ya Meko amejisifu kuwa kafanya maendeleo sana, lakini why this REJECTION ? Sasa hivi haongelei tena madaraja na madegePale penye Umoja na Ushikamano katika kila kauli tunatumia, WE (sisi).
So,Sisi ni Wamoja na Tunazungumza kwa Lugha moja ya SISI.
Kurudia rudia Mambo ambayo tayari kila mwananchi anayatambua ni Moja ya kupoteza MudaWatanzania wanataka uhuru na haki ndani ya nchi yao. Watanzania hawataki kuonewa na kunyanyaswa na kutukanwa ndani ya nchi yao. Ndiyo maana kipindi cha miaka 5 ya Meko amejisifu kuwa kafanya maendeleo sana, lakini why this REJECTION ? Sasa hivi haongelei tena madaraja na madege
Kura yako uhai wako
Masikini wengi wa akili hupenda kujiambatanisha na wasio wajua , mimi tajiri na mgombea ubunge wa 2020 nisiwajue viongozi wa Chadema ili iwe nini ? nakusoma unavyoandika humu hadi nacheka , lengo nifunguke ili unijue !Upo front sana kuliko baadhi ya viongozi wa makao makuu, hongera.
Shida ni moja hupati nafasi ya kujua yaliyomo chamani, kuna siku nikiamka vizuri ntakutumia namba za baadhi ya viongozi wa makao makuu.
Unajua nini chama/mwenyekiti wameamua kuhusu hii adhabu ya lissu? Pole najua hujui
Mkuu hata mimi nilishaamua Sikh nyingi hata wangeweka jiwe haki ya nani ningelipigia jiwe kuliko Magufuli! Nimechoka kuongozwa na taahira mjivuni!Chadema hata wakiweka kichaa mimi nitachagua kuliko haya manyanyaso
Yupo na yule mwenzake anapambana twitter na mikwara kama katibu mkuu wa UN.Ndiyo hivyo wamemuweka kichaa kweli
Yaani huyu nadhani apewe kumi Tena
Zanzibar baada ya shoo watu tena wenye sare za ccm wakafunga virago wakaacha anapayuka jukwaaniNani achague huyu shetani? Au mnafikiri Watanzania hatuna akili?
Masikini wengi wa akili hupenda kujiambatanisha na wasio wajua , mimi tajiri na mgombea ubunge wa 2020 nisiwajue viongozi wa Chadema ili iwe nini ? nakusoma unavyoandika humu hadi nacheka , lengo nifunguke ili unijue !
Mbinu ya kishamba sana !
Na mnalimia kwani uongo?"nikiwa Rais Mtalimia meno "
Zanzibar baada ya shoo watu tena wenye sare za ccm wakafunga virago wakaacha anapayuka jukwaani
Uungane na Nani?Watz tusipoungana kwa nguvu zetu zote kuitoa madarakani hili lichama la maccm mwaka huu halitatoka tena hadi hiki kizazi cha sasa kife.
Alikuteka wewe?ila amekubali watu kutekwa na kunyongwa na kutupwa mkuranga
dah huyo mumeo hakukuni vizuri ndio mana una mdomo mdomoNdiyo hivyo wamemuweka kichaa kweli