Uchaguzi 2020 Kampeni: Kama una hofu ya Mungu na kama umechoshwa na dhuluma tarehe 28 Oktoba chagua wagombea wa CHADEMA na washirika wao

Masikini wengi wa akili hupenda kujiambatanisha na wasio wajua , mimi tajiri na mgombea ubunge wa 2020 nisiwajue viongozi wa Chadema ili iwe nini ? nakusoma unavyoandika humu hadi nacheka , lengo nifunguke ili unijue !

Mbinu ya kishamba sana !
Na ubunge hutopata ng'oooo
 
Ok nimekuelewa ila kinachonishangaza hujuagi kinachoendelea chamani! Umejua chama kimeamua nini kuhusu adhabu ya lissu?
Jikite kwenye mada iliyopo mezani , ukiendelea kunifuata fuata nitaku ignore nisikuone milele humu JF .
 
yule yule mliyetaka kumuua ndio anakuja kua Rais wa Tanzania ...Mungu humuinua yule wa kwake na sio WAUAJI kama nyie
Hili linawauma mno ! Naambiwa Ndugai kisukari kimepanda kuliko wakati wowote !
 
yule yule mliyetaka kumuua ndio anakuja kua Rais wa Tanzania ...Mungu humuinua yule wa kwake na sio WAUAJI kama nyie
Mungu humuinua Mwenye haki na anaemtumania yeye kama Mwokozi na mponyaji wake.

Hili limeonekana Miezi Minne iliyopita ndani J.P.Magufuli
 
Huwa sipendagi kutuka ila Wewe ni mjinga sana, ukini-ignore unanipunguzia nini? Fwala we
Jikite kwenye mada iliyopo mezani , ukiendelea kunifuata fuata nitaku ignore nisikuone milele humu JF .
 
Huwa sipendagi kutuka ila Wewe ni mjinga sana, ukini-ignore unanipunguzia nini? Fwala we
utapata shida sana maana yule unayemfuatilia kuliko familia yako na maisha yako kishakupuuza kuliko maelezo
 






Ili mkamuliwe vizuri zaidi kama ng'ombe.
 
Chama cha Mbowe hakinunuliki hata ukikipaka iliki. Mbowe anahofu ya Mungu?. Chama saccos kimejaa ufisadi tupu pale unataka kusema nini?.Watanzania wana jambo lao Oct 28. Mwisho ya kula ruzuku za watanzania umewadia, Mungu ashukuriwe kwa kutupa JPM.
 
Reactions: Ole
Hebu tupe list ya makamo wa rais, waziri mkuu na mawaziri kama chdema inashinda
 
Chama cha kipuuzi Sana hiki. Mama Tanzania 🇹🇿, hutaangukia mikononi mwa hawa mabazazi. Watanzania wapo makini kuona pumba na mchele vizuri ili wachague hiyo Oct 28.
Muulize Nape atakueleza ya ccm , siyo wewe kapuku mtozeni unayelipwa elfu 7 kwa wiki .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…