hakuna muuaji mwenye haki dogo...na zaidi Mungu huyo huyo unayemsemea ndio alimuokoa kutoka kwenye tundu la kifo mlilotaka kumuingiza huko, lakini Mungu akasema hapana, huyu naenda kumuinua nchini Tanzania awe Rais wa TanzaniaMungu humuinua Mwenye haki na anaemtumania yeye kama Mwokozi na mponyaji wake.
Hili limeonekana Miezi Minne iliyopita ndani J.P.Magufuli
Hii serikali ni dhalim SanaView attachment 1589163
Ikiwa kama umechoshwa na unyama unaotendwa dhidi ya binadamu nchini Tanzania ( RIP Lwajabe , pole Lissu ) , na ikiwa kama unakerwa na dhuluma dhidi ya wakulima , ikiwa unakerwa na rushwa na ikiwa kweli wewe ni mcha Mungu basi wakati wako wa kutenda kwa kadri ya maandiko Matakatifu umefika , pinga umasikini kwa kuikataa ccm na kuichagua Chadema , jiwekee akiba mbinguni kwa kuwakataa watekaji na wabambika kesi , kataa uonevu dhidi ya wananchi wa Tanzania .
Mungu anakuona unavyoteseka na amekuona ulivyo na Subira , sasa amekuletea Chadema na washirika wake ili ukombolewe dhidi ya Maisha ya kishetani ambayo ccm imejiapiza kuwapa wananchi , muda ni huu acha kulia lia , kura ni siri yako , ipige vizuri ili kumtukuza Mungu kwa " Ufufuo " wa Tundu Lissu ubarikiwe .
Nchi hii imebakisha wiki chache sana ili kuondokana na utumwa , dhiki , uonevu , ukosefu wa ajira , mishahara duni , ufisadi , utekaji , makanisa na misikiti kutumika , hofu , mateso , dharau , matusi , wizi , ada ya kuzaa , elimu duni pamoja na mambo yote mabaya yaliyofichwa , mwenye maamuzi ni wewe , ikatae ccm ili tujue waliko waliopotea , ikatae ccm ili tuwajue watekaji , ikatae ccm ili chini ya mwezi mmoja tuyajue majina ya waliomshambulia Lissu na waliowatuma .
CHAGUA CHADEMA KWA UHURU , HAKI NA MAENDELEO YA WATU.
Sio mi5 hata 100 lakini upo mwisho wake
View attachment 1589163

Muogope munguView attachment 1589163

Kuna kapuku zaidi ya wewe! Phew, what an *****.Muulize Nape atakueleza ya ccm , siyo wewe kapuku mtozeni unayelipwa elfu 7 kwa wiki .
Pole kijana , Hakuna tajiri aliyewahi kuwa kapuku .Kuna kapuku zaidi ya wewe! Phew, what an *****.