Kampeni: Kiba rudisha tuzo mbili ulizopewa (sio ulizoshinda)

Ukweli unajionesha khaaaaaaa kula ndimu

Utajiju tuache sie wa Tanzania halisi tunaojivunia nchi yetu.

Mnatamani kuwa wa Naija, watawakalibisha kunako wafaa na huko ni Ajegunle.

Haaaaaaaaaaaah haaaaaaah....! Huuuuuuhh team Dmon bhaaana..... Okay lets be frank..? Kwa nin Haumkubali Kiba@Mzurimie
 
Mie nitajie vijana wanaojituma na kazi zao zinaonekana bila kuonea wivu waliowazidi TZ, utanisikia nikiwapa sapoti bila tabu.
 
Watu wanajua tunampinga Kiba Hapana, tunachopinga ni kupewa asichostahili.

Akifanya kazi nzuri tutaamuunga mkono tu.
 
Okay nakujibu as follows.! Kiba anafanya mziki mzuri soo does Dmond..! Mnapo bugi ni hapo mnapoanza kumponda mmoja wao..! Me nadhani ili kufikia conclusion niseme wote wana make good music locally&internationaly soo tuwape promo but tukianza team yupi na team yule haitakuwa poa..! Wat i know ni hiki "GOD BLESS TANZANIA" vya team ni politics na hazijengi but kubomoa in deed
 
Maneno ndio hayooooo, kama unatunga yako hakuna tabu.

Kijulikanacho na kinachoonekana wote tunajua anayetangaza TZ nchi za nje ni Diamond, Jina lake limo vinywani mwa wengi na inazidi.

Usisahau kumpigia kura

Kweli akili yako battery low!! Eti anayetangaza nchi ni domo!!
 
Watu wanajua tunampinga Kiba Hapana, tunachopinga ni kupewa asichostahili.

Akifanya kazi nzuri tutaamuunga mkono tu.

Wewe ndo unaona hajafanya vizuri na kikundi cha wachache wasio kubali kushindwa. Ila majority wanamuona anafaa na ndio maana akapata kura na hizo tuzo.
Hayo mengine endeleeni kujifariji sio mbaya tuzo ndo hizo kashazipata na kelele za chura hazimnyimi tembo kunywa maji na kamwe dua la kuku halimpati mweye.
 
Kibakuli rudisha tu hizo tuzo mbili, maana mtunzi bora ni Christian Bella na wimbo wake wa nani kama mama, mtumbuizaji bora mi diamond, watu walilipa hadi Milioni 3 kwenda kumuona. Kuwa mstaarabu
 
Wewe ndo unaona hajafanya vizuri na kikundi cha wachache wasio kubali kushindwa. Ila majority wanamuona anafaa na ndio maana akapata kura na hizo tuzo.
Hayo mengine endeleeni kujifariji sio mbaya tuzo ndo hizo kashazipata na kelele za chura hazimnyimi tembo kunywa maji na kamwe dua la kuku halimpati mweye.

idawa hana timu yeyote hapa. Kwanini usisikie maneno yake ya busara.
 
Last edited by a moderator:

Sawa hatukai tuzo kapata lakini kivigezo havikutimia, nafikiri wewe mwenyewe ukiamua kifikiri nje ya team utagundua kuwa kuna mokasa yalifanyika.

Kweli unaamini Kiba ni mtunzi bora kuliko Barnaba na Bella?

Kweli unaamini Kiba ni mtumbuizaji bora kuliko Diamond na Bell.?

Kweli unaamini wimbo wa Mwana ndio wimbo bora kuzidi Bella nani kama Mama.?
 
Huu ushabiki ndio unaotufanya hata shetani aonekane malaika , Gaidi aonekane mpenda amani , Fisadi aonekane mtetezi wa wanyonge .

Lakini tukitoa ushabiki hata Kiba mwenyewe anajishangaa kwa kubebeshwa tuzo na sifa asizostahili .

Nadhani sasa hivi anadeni na pressure kubwa zaidi kwa waliombeba , maana tuzo alizopewa inaonekana ni kwa kazi atakazofanya sio alizofanya .!
 
Last edited by a moderator:
Okay nakujibu as follows.! Kiba anafanya mziki mzuri soo does Dmond..! Mnapo bugi ni hapo mnapoanza kumponda mmoja wao..! Me nadhani ili kufikia conclusion niseme wote wana make good music locally&internationaly soo tuwape promo but tukianza team yupi na team yule haitakuwa poa..! Wat i know ni hiki "GOD BLESS TANZANIA" vya team ni politics na hazijengi but kubomoa in deed
Shukrani Mkuu kwa kuwa muwazi ,watu hawajui kuwa hizi team zinatufanya tusifikiri nje ya box .
 
idawa hana timu yeyote hapa. Kwanini usisikie maneno yake ya busara.

Mbona unamsemea wakati ni timu mond hata kama hajasrma mwandiko wake wadhihirisha eeh.
Wengi mnaomponda kiba mnajishau kuwa hamna timu kumbe ni unafiki tuu. Maneno yake yangekua busara kama angeyaongea last year diamond alivo chukua tuzo saba.
Sasa hivi hawezi kueleweka inakua ni unafiki flani kwa vile msanii wake hakupata hizo tuzo.
 
Last edited by a moderator:
Sawa hatukai tuzo kapata lakini kivigezo havikutimia, nafikiri wewe mwenyewe ukiamua kifikiri nje ya team utagundua kuwa kuna mokasa yalifanyika.

Kweli unaamini Kiba ni mtunzi bora kuliko Barnaba na Bella?

Kweli unaamini Kiba ni mtumbuizaji bora kuliko Diamond na Bell.?

Kweli unaamini wimbo wa Mwana ndio wimbo bora kuzidi Bella nani kama Mama.?

Vigezo vyote vilitimia na ndio maana aliwekwa kwenye category hiyo. Kiba kiutunzi yuko vizuri sana hasa huo wimbo wa mwana ujumbe wake Mpaka uumize kichwa kuutambua.
Barnaba hata Bella ni watunzi wazuri ila hawakupata kura za kutosha kuwafanya washinde hyo tuzo.
Wimbo wa Bella angetakiwa ashinde ile tuzo aliyopewa diamond huo ndo ukweli kulingana na maudhui ya wimbo mana pia Jidee alikua kwenye hyo category. Hata nyimbo zao zilikua na content yenye maana.
In short hamna tuzo zisizo na malalamiko popote pale hasa watu waliotarajiwa kushinda wanaposhindwa.
Hayo mapungufu ya tuzo watu wangeyapeleka mapema kwa waandaaji wa tuzo yafanyiwe marekebisho ili kuwa nzuri zaidi.
Ila kumlalamikia kiba kuhusu tuzo hamko fair kabisa naona ka MNA agenda zenu za siri kwa vile kapata.
Next time tusiwe walalamishi ina bidi kutoa way forward ili kuziboresha hizo tuzo.
 
Back
Top Bottom