Ukweli unajionesha khaaaaaaa kula ndimu
Utajiju tuache sie wa Tanzania halisi tunaojivunia nchi yetu.
Mnatamani kuwa wa Naija, watawakalibisha kunako wafaa na huko ni Ajegunle.
Haaaaaaaaaaaah haaaaaaah....! Huuuuuuhh team Dmon bhaaana..... Okay lets be frank..? Kwa nin Haumkubali Kiba@Mzurimie
Mie nitajie vijana wanaojituma na kazi zao zinaonekana bila kuonea wivu waliowazidi TZ, utanisikia nikiwapa sapoti bila tabu.
Thibitisha.!!!
Mie nitajie vijana wanaojituma na kazi zao zinaonekana bila kuonea wivu waliowazidi TZ, utanisikia nikiwapa sapoti bila tabu.
Maneno ndio hayooooo, kama unatunga yako hakuna tabu.
Kijulikanacho na kinachoonekana wote tunajua anayetangaza TZ nchi za nje ni Diamond, Jina lake limo vinywani mwa wengi na inazidi.
Usisahau kumpigia kura
Kweli akili yako battery low!! Eti anayetangaza nchi ni domo!!
Watu wanajua tunampinga Kiba Hapana, tunachopinga ni kupewa asichostahili.
Akifanya kazi nzuri tutaamuunga mkono tu.
Kibaka rudisha tuzooooo....
Wewe ndo unaona hajafanya vizuri na kikundi cha wachache wasio kubali kushindwa. Ila majority wanamuona anafaa na ndio maana akapata kura na hizo tuzo.
Hayo mengine endeleeni kujifariji sio mbaya tuzo ndo hizo kashazipata na kelele za chura hazimnyimi tembo kunywa maji na kamwe dua la kuku halimpati mweye.
Sawa hatukai tuzo kapata lakini kivigezo havikutimia, nafikiri wewe mwenyewe ukiamua kifikiri nje ya team utagundua kuwa kuna mokasa yalifanyika.Wewe ndo unaona hajafanya vizuri na kikundi cha wachache wasio kubali kushindwa. Ila majority wanamuona anafaa na ndio maana akapata kura na hizo tuzo.
Hayo mengine endeleeni kujifariji sio mbaya tuzo ndo hizo kashazipata na kelele za chura hazimnyimi tembo kunywa maji na kamwe dua la kuku halimpati mweye.
Huu ushabiki ndio unaotufanya hata shetani aonekane malaika , Gaidi aonekane mpenda amani , Fisadi aonekane mtetezi wa wanyonge .idawa hana timu yeyote hapa. Kwanini usisikie maneno yake ya busara.
Shukrani Mkuu kwa kuwa muwazi ,watu hawajui kuwa hizi team zinatufanya tusifikiri nje ya box .Okay nakujibu as follows.! Kiba anafanya mziki mzuri soo does Dmond..! Mnapo bugi ni hapo mnapoanza kumponda mmoja wao..! Me nadhani ili kufikia conclusion niseme wote wana make good music locally&internationaly soo tuwape promo but tukianza team yupi na team yule haitakuwa poa..! Wat i know ni hiki "GOD BLESS TANZANIA" vya team ni politics na hazijengi but kubomoa in deed
idawa hana timu yeyote hapa. Kwanini usisikie maneno yake ya busara.
Sawa hatukai tuzo kapata lakini kivigezo havikutimia, nafikiri wewe mwenyewe ukiamua kifikiri nje ya team utagundua kuwa kuna mokasa yalifanyika.
Kweli unaamini Kiba ni mtunzi bora kuliko Barnaba na Bella?
Kweli unaamini Kiba ni mtumbuizaji bora kuliko Diamond na Bell.?
Kweli unaamini wimbo wa Mwana ndio wimbo bora kuzidi Bella nani kama Mama.?