idawa
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 25,284
- 38,364
- Thread starter
-
- #121
Utatoa mapungufu kabla ya uteuzi kufanyika?Vigezo vyote vilitimia na ndio maana aliwekwa kwenye category hiyo. Kiba kiutunzi yuko vizuri sana hasa huo wimbo wa mwana ujumbe wake Mpaka uumize kichwa kuutambua.
Barnaba hata Bella ni watunzi wazuri ila hawakupata kura za kutosha kuwafanya washinde hyo tuzo.
Wimbo wa Bella angetakiwa ashinde ile tuzo aliyopewa diamond huo ndo ukweli kulingana na maudhui ya wimbo mana pia Jidee alikua kwenye hyo category. Hata nyimbo zao zilikua na content yenye maana.
In short hamna tuzo zisizo na malalamiko popote pale hasa watu waliotarajiwa kushinda wanaposhindwa.
Hayo mapungufu ya tuzo watu wangeyapeleka mapema kwa waandaaji wa tuzo yafanyiwe marekebisho ili kuwa nzuri zaidi.
Ila kumlalamikia kiba kuhusu tuzo hamko fair kabisa naona ka MNA agenda zenu za siri kwa vile kapata.
Next time tusiwe walalamishi ina bidi kutoa way forward ili kuziboresha hizo tuzo.
Sawa wote ni wanamziki wazuri , wote watunzi wazuri, wote ni watumbiaji wazuri ila kuna point wanapozidiana.
Ambavyo majaji huvifanyia kazi, maana wakati mwingine shabiki haangalii vigezo ila upenzi.