Kampeni ku'unfollow wasanii wanaonunulika na vyama vya siasa

TANGAZO KWA UMMA; Habari hii imekuja kufuati DIAMOND kuonyesha mapenzi yake kwa CCM, lakini wasanii kama Prof jay, Afande sele, na mh Sugu wao kuonyesha mapenzi yao CDM na A.C.T si tatizo. Hakika wewe kijana ni NEMBO YA TAIFA ULIFANYALO LOLOTE NI MJADALA WA TAIFA.

Alikuwa anasubiriwa Diamond tu. Shameful.
 
Wasalaam wana Jf,

Nikiwa kama raia ambaye ili nipunguze 'stress' za kila siku za kimaisha, nahitaji burudani mbalimbali! Mojawapo ya burudani ni muziki na maigizo. Nimesikitishwa na wengi wa wasanii wa muziki na maigizo kuonyesha misimamo yao ya kisiasa waziwazi kwenye kurasa zao za mitandao na hasa Instagram!

Nikiwa kama shabiki mwenye msimamo wangu katika siasa nimesikitishwa kwa kiasi kikubwa na jambo hili.Sio shida kwa kila mtu kushabikia chama akitakacho lakini kwa wingi huu wa wasanii ambao juzi tu tuliwaona Mlimani city walikotwambia kuwa wameandaa sherehe ya kumuaga Kikwete am ambapo ilitumika kisiasa, tunaamini kuwa WAMENUNULIKA!

Binafsi kwa kipindi hiki nimeamua kuwa "UNFOLOW" wasanii wote wanaoonyesha mihemko yao kipindi hiki cha kampeni mpaka uchaguzi utakapoisha na ningependa muungaane na mimi kukataa wasanii hawa kutumika kisiasa katika kipindi hiki kwa kuwa UNFOLOW Instagram na Facebook!

Nahisi uwezo wako wa kufikiri hata nyumbu anakuzidi, acha kuendeshwa na mihemko ya kisiasa ww kwenye kazi za watu, ukiona wamekuboa kwasababu wametumika CCM, tazama na kusikiliza wasanii wanaotumika Ukawa
 
Niku Unfollow tu, hakuna namna nyingine kwa wasanii njaa kama hawa!!
 
watumie km raia sio kupiga show na kuweka vionjo vya vyama.wamuulize marlaw
 
TANGAZO KWA UMMA; Habari hii imekuja kufuati DIAMOND kuonyesha mapenzi yake kwa CCM, lakini wasanii kama Prof jay, Afande sele, na mh Sugu wao kuonyesha mapenzi yao CDM na A.C.T si tatizo. Hakika wewe kijana ni NEMBO YA TAIFA ULIFANYALO LOLOTE NI MJADALA WA TAIFA.

Whaooooo umesema kweli, imeniingia sasa.
 
Wasalaam wana Jf,

Nikiwa kama raia ambaye ili nipunguze 'stress' za kila siku za kimaisha, nahitaji burudani mbalimbali! Mojawapo ya burudani ni muziki na maigizo. Nimesikitishwa na wengi wa wasanii wa muziki na maigizo kuonyesha misimamo yao ya kisiasa waziwazi kwenye kurasa zao za mitandao na hasa Instagram!

Nikiwa kama shabiki mwenye msimamo wangu katika siasa nimesikitishwa kwa kiasi kikubwa na jambo hili.Sio shida kwa kila mtu kushabikia chama akitakacho lakini kwa wingi huu wa wasanii ambao juzi tu tuliwaona Mlimani city walikotwambia kuwa wameandaa sherehe ya kumuaga Kikwete am ambapo ilitumika kisiasa, tunaamini kuwa WAMENUNULIKA!

Binafsi kwa kipindi hiki nimeamua kuwa "UNFOLOW" wasanii wote wanaoonyesha mihemko yao kipindi hiki cha kampeni mpaka uchaguzi utakapoisha na ningependa muungaane na mimi kukataa wasanii hawa kutumika kisiasa katika kipindi hiki kwa kuwa UNFOLOW Instagram na Facebook!

Tulio na akili timamu wote tunakuunga mkono mkuu.
 
Hahahaha vipi wakina wolper,prof Jay, aunty ezekieli, juma nature.......nao umewa unfollow au kisa wao ni chadema

My take ; me naona wametumia haki yao kikatiba.......so siungi mkono hoja
WanaCHADEMA wengi akili zimekaa kushoto.....................
 
Wasalaam wana Jf,

Nikiwa kama raia ambaye ili nipunguze 'stress' za kila siku za kimaisha, nahitaji burudani mbalimbali! Mojawapo ya burudani ni muziki na maigizo. Nimesikitishwa na wengi wa wasanii wa muziki na maigizo kuonyesha misimamo yao ya kisiasa waziwazi kwenye kurasa zao za mitandao na hasa Instagram!

Nikiwa kama shabiki mwenye msimamo wangu katika siasa nimesikitishwa kwa kiasi kikubwa na jambo hili.Sio shida kwa kila mtu kushabikia chama akitakacho lakini kwa wingi huu wa wasanii ambao juzi tu tuliwaona Mlimani city walikotwambia kuwa wameandaa sherehe ya kumuaga Kikwete am ambapo ilitumika kisiasa, tunaamini kuwa WAMENUNULIKA!

Binafsi kwa kipindi hiki nimeamua kuwa "UNFOLOW" wasanii wote wanaoonyesha mihemko yao kipindi hiki cha kampeni mpaka uchaguzi utakapoisha na ningependa muungaane na mimi kukataa wasanii hawa kutumika kisiasa katika kipindi hiki kwa kuwa UNFOLOW Instagram na Facebook!

Ndugu NEPI ww ni mpumbafu sana.
 
Unfollow wasanii kunuka woote waliokubali kushinikizwa na mabosi wamiliki wa MEDIA kuunga mkono hata wanasiasa wasiowakubali.

Unfollow wasanii waoga!! Unfollow wasanii waliounda umoja FEKI mlimani city ili kubeba mgombea Urais!!

UNFOLLOW!!
 
Nao ni wananchi mkikaa mashuleni na makazini mnashabikia chama na wao why wasifanye hivyo.

Uhuru kwa kila mtu na maisha yake. Kazi huko siasa hukoooooo

Umeona nawao wanahaki
 
Wasalaam wana Jf,

Nikiwa kama raia ambaye ili nipunguze 'stress' za kila siku za kimaisha, nahitaji burudani mbalimbali! Mojawapo ya burudani ni muziki na maigizo. Nimesikitishwa na wengi wa wasanii wa muziki na maigizo kuonyesha misimamo yao ya kisiasa waziwazi kwenye kurasa zao za mitandao na hasa Instagram!

Nikiwa kama shabiki mwenye msimamo wangu katika siasa nimesikitishwa kwa kiasi kikubwa na jambo hili.Sio shida kwa kila mtu kushabikia chama akitakacho lakini kwa wingi huu wa wasanii ambao juzi tu tuliwaona Mlimani city walikotwambia kuwa wameandaa sherehe ya kumuaga Kikwete am ambapo ilitumika kisiasa, tunaamini kuwa WAMENUNULIKA!

Binafsi kwa kipindi hiki nimeamua kuwa "UNFOLOW" wasanii wote wanaoonyesha mihemko yao kipindi hiki cha kampeni mpaka uchaguzi utakapoisha na ningependa muungaane na mimi kukataa wasanii hawa kutumika kisiasa katika kipindi hiki kwa kuwa UNFOLOW Instagram na Facebook!

Usinichekeshe mbona Mbowe kanunuliwa fanya utakavyo haiwapotezei kt kwan ww nani hujulikani popote
 
Back
Top Bottom