Sophist
Platinum Member
- Mar 26, 2009
- 4,486
- 3,408
Viongozi waliofanya hivyo wanatakiwa kuwajibishwa. Mbowe anatakiwa aachie uenyekiti
Ninaamini agenda kuu itakuwa msimamo wa chama juu ya wagonbea waliokatwa hivyo hivyo kunyang'anywa haki zao za kushiriki/kugombea kwenye uchaguzi mkuu 2020.Mara nyingi wadau wa upinzani wametoa malalamiko mengi juu ya kupwaya kwa kitengo cha habari na mawasiliano. Mimi mwenyewe nimefanya juhudi kadhaa za kwenda inbox za Malisa Godlisten na Yericko Nyerere kuwalalamikia jinsi ambavyo idara hiyo ilivyopwaya.
Siku ya Mgombea wa CHADEMA kuweka pingamizi kwa wagombea wenzake alisema ataongea na vyombo vya habari, lilikua tukio muhimu lakini hatukulipata live wala halikutumwa kwa wakati mitandaoni.
Leo ni siku kuu na rasmi ya uzinduzi wa kampeni lakini mpaka sasa unatafuta link za kujiunga live huzioni na hata matangazo yanayoashiria tukio kubwa kwenye social media huyaoni. Ni kweli inashindikana kupata wataalam wa graphics wawili na wakawa wanawajibika kwa haya mambo 24/7 ?
Wanashindwa ku-sponse tangazo Instagram kwa dola tano tu?
Redio,TV zote hazitoi favor yoyote kwa vyama vya upinzani hasa Chadema lkn technologia imekua sana ...lkn wanashindwa kuitumia pia?
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO AMKA TAFADHALI.
Chama hakuwezi kuendelea na kampeini wakati wagombea wake wa ubunge zaidi ya 60 wameenguliwa na wagonbea udiwani zaidi ya 600 wameenguliwa pasipo haki kutendeka.