Uchaguzi 2020 Kampeni Mbagala Lissu aandaliwe vyema

Kuna jambo haliko sawa cdm, kampeni plans zao zaweza kuwa zahovo hujawahi ona
 
EL bana alikuja tanga kule uwaja wa Ocean road aisee mzee kaja dakika tano tu kashuka ni mwendo wa peoplez power
Lakini aliwapa wabunge wengi haijapata kutokea . Ngoja tuone lissu atamzidi lowasa au ata jaribu sana. Mimi natabiri atashindwa vibaya sana.
 
Mkuu
Kazi aliyopewa tumaini Makene ndo ileile aliyopewa patrobas Katambi. Tumaini ni Usalama, yupo pale kuhakikisha habari za Chadema haziwafikii wananchi kwa wakati
 
Bima ya afya kuondoa baazi ya dawa.
Kikokotoo tupilia mbali
Watoto wote waliofaulu form six wapewe mikopo.
 
Usinikumbushe....siku Ile nilikoswa na roli niwahi hotuba😩😩.....ogopa Sana watu wakichoka,wanaweza kufanya chochote....nashangaa watu hawajajifunza!
 
Dua la kuku!
 
u
Yutubu ya chadema ipoo? au hawana
 
Mkuu umetoa hoja nzuri sana, lkn majority hawaihitaji siasa za namna hiyo, ndio maana kama umefwatilia sana mkutano ya siasa hapa Tanzania, watu hushangilia sana mtu akimchamba mpinzani kuliko kueneza sera. Western politics sisi hatuwezi, hapa we need radical politics ambazo hazihitaji kuchambua sera ili majority ikuelewe. Mfano imagine mtu akianza kuhusisha swala la kusinyaa kwa sekta binafsi, ambako kumepelekea kupungua kwa ajira kweny sekta binafsi mpaka kufikia 130k kutoka 500k, then unalink kwamba haya yote yamesababishwa na unadhani watu wanaelewa ? . Wapiga kura wengi sio wasomi mpaka kufikia kuchanganua critical issues, that is why hata CCM hufanya cheap politics kama kuahidi maji, barabara, hospital nk licha ya 59years za uhuru. So far Tundu Lissu, alijenga hoja kuntu sana siku moja, alisema " kwa nini licha ya kila chama kuja na ahadi tele, lkn baada ya uchaguzi kuisha hazitekelezeki hivyo kila uchaguzi kuja na ahadi zile zile ?" .akasema lzm tujiulize hilo kwanza, tatizo ni nini ? na tukijua tatizo ndio tuanze nalo. Na msingi mkubwa wa madai ya Tl ni mfumo wa kiuongozi ambao ndio tatizo, n na kimsingi yupo sahihi.
 

..maoni yako yamenifikirisha sana.

..lakini, unadhani CCM huwa wanashinda kwa kuwachamba wapinzani wao, au kwa kutoa ahadi tamu-tamu?
 
Nadhani umekwishakujijibu swali lako. Hoja ya awali imethibitika tayari.
 
Siku 60, wakati imetuchukua miaka mitano kulielewa swali la Dr Slaa alipowauliza akina Lisu "Lowasa kaja kama ASSET ai LIABILITY?"
 
Rungwe Aweza shinda kura nyingi kuliko Lisu na ubwabwa anaotembea nao Kuna watu wanapenda ubwabwa kuliko hotuba za Lisu usione Rungwe mjinga akigawa ubwabwa watu wanampa kura
Ndio maana nimekuelekeza huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…