Uchaguzi 2020 Kampeni Mbagala Lissu aandaliwe vyema

Mara nyingi wadau wa upinzani wametoa malalamiko mengi juu ya kupwaya kwa kitengo cha habari na mawasiliano. Mimi mwenyewe nimefanya juhudi kadhaa za kwenda inbox za Malisa Godlisten na Yericko Nyerere kuwalalamikia jinsi ambavyo idara hiyo ilivyopwaya.

Siku ya Mgombea wa CHADEMA kuweka pingamizi kwa wagombea wenzake alisema ataongea na vyombo vya habari, lilikua tukio muhimu lakini hatukulipata live wala halikutumwa kwa wakati mitandaoni.

Leo ni siku kuu na rasmi ya uzinduzi wa kampeni lakini mpaka sasa unatafuta link za kujiunga live huzioni na hata matangazo yanayoashiria tukio kubwa kwenye social media huyaoni. Ni kweli inashindikana kupata wataalam wa graphics wawili na wakawa wanawajibika kwa haya mambo 24/7?

Wanashindwa ku-sponse tangazo Instagram kwa dola tano tu?

Redio,TV zote hazitoi favor yoyote kwa vyama vya upinzani hasa Chadema lkn technologia imekua sana ...lkn wanashindwa kuitumia pia?

CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO AMKA TAFADHALI.
Kuna jambo haliko sawa cdm, kampeni plans zao zaweza kuwa zahovo hujawahi ona
 
EL bana alikuja tanga kule uwaja wa Ocean road aisee mzee kaja dakika tano tu kashuka ni mwendo wa peoplez power
Lakini aliwapa wabunge wengi haijapata kutokea . Ngoja tuone lissu atamzidi lowasa au ata jaribu sana. Mimi natabiri atashindwa vibaya sana.
 
Mara nyingi wadau wa upinzani wametoa malalamiko mengi juu ya kupwaya kwa kitengo cha habari na mawasiliano. Mimi mwenyewe nimefanya juhudi kadhaa za kwenda inbox za Malisa Godlisten na Yericko Nyerere kuwalalamikia jinsi ambavyo idara hiyo ilivyopwaya.

Siku ya Mgombea wa CHADEMA kuweka pingamizi kwa wagombea wenzake alisema ataongea na vyombo vya habari, lilikua tukio muhimu lakini hatukulipata live wala halikutumwa kwa wakati mitandaoni.

Leo ni siku kuu na rasmi ya uzinduzi wa kampeni lakini mpaka sasa unatafuta link za kujiunga live huzioni na hata matangazo yanayoashiria tukio kubwa kwenye social media huyaoni. Ni kweli inashindikana kupata wataalam wa graphics wawili na wakawa wanawajibika kwa haya mambo 24/7?

Wanashindwa ku-sponse tangazo Instagram kwa dola tano tu?

Redio,TV zote hazitoi favor yoyote kwa vyama vya upinzani hasa Chadema lkn technologia imekua sana ...lkn wanashindwa kuitumia pia?

CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO AMKA TAFADHALI.
Mkuu
Kazi aliyopewa tumaini Makene ndo ileile aliyopewa patrobas Katambi. Tumaini ni Usalama, yupo pale kuhakikisha habari za Chadema haziwafikii wananchi kwa wakati
 
Bima ya afya kuondoa baazi ya dawa.
Kikokotoo tupilia mbali
Watoto wote waliofaulu form six wapewe mikopo.
 
Mkuu usinikumbushe 2015 tulivumilia sana aisee, imagine unahutubiwa na kina Lawrence Masha anatuambia "Nimefungwa nikipigania haki" wakati miaka kadhaa nyuma aliwananga wafungwa eti jela siyo Kenpisk? Dah anakuja Lowassa anahutubia dakika 5 tunaondoka! Aisee ile ilikuwa zaidi ya aibu!
Usinikumbushe....siku Ile nilikoswa na roli niwahi hotuba😩😩.....ogopa Sana watu wakichoka,wanaweza kufanya chochote....nashangaa watu hawajajifunza!
 
Pesa yake ndio ilikuwa inakubalika sio sura kama ya Lisu

Watu kuimba kwa nguvu Hadi kuzimia slogan ya people's power lazima mtu awe kashiba barabara kashibishwa .Lowasa aliwashibisha kwanza!!! Lisu anatoa macho tu !!! Lisu anataka kuimba tu people's power huku Watu Wana njaa!!!
Dua la kuku!
 
u
Mara nyingi wadau wa upinzani wametoa malalamiko mengi juu ya kupwaya kwa kitengo cha habari na mawasiliano. Mimi mwenyewe nimefanya juhudi kadhaa za kwenda inbox za Malisa Godlisten na Yericko Nyerere kuwalalamikia jinsi ambavyo idara hiyo ilivyopwaya.

Siku ya Mgombea wa CHADEMA kuweka pingamizi kwa wagombea wenzake alisema ataongea na vyombo vya habari, lilikua tukio muhimu lakini hatukulipata live wala halikutumwa kwa wakati mitandaoni.

Leo ni siku kuu na rasmi ya uzinduzi wa kampeni lakini mpaka sasa unatafuta link za kujiunga live huzioni na hata matangazo yanayoashiria tukio kubwa kwenye social media huyaoni. Ni kweli inashindikana kupata wataalam wa graphics wawili na wakawa wanawajibika kwa haya mambo 24/7?

Wanashindwa ku-sponse tangazo Instagram kwa dola tano tu?

Redio,TV zote hazitoi favor yoyote kwa vyama vya upinzani hasa Chadema lkn technologia imekua sana ...lkn wanashindwa kuitumia pia?

CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO AMKA TAFADHALI.
Yutubu ya chadema ipoo? au hawana
 
Mkuu umetoa hoja nzuri sana, lkn majority hawaihitaji siasa za namna hiyo, ndio maana kama umefwatilia sana mkutano ya siasa hapa Tanzania, watu hushangilia sana mtu akimchamba mpinzani kuliko kueneza sera. Western politics sisi hatuwezi, hapa we need radical politics ambazo hazihitaji kuchambua sera ili majority ikuelewe. Mfano imagine mtu akianza kuhusisha swala la kusinyaa kwa sekta binafsi, ambako kumepelekea kupungua kwa ajira kweny sekta binafsi mpaka kufikia 130k kutoka 500k, then unalink kwamba haya yote yamesababishwa na unadhani watu wanaelewa ? . Wapiga kura wengi sio wasomi mpaka kufikia kuchanganua critical issues, that is why hata CCM hufanya cheap politics kama kuahidi maji, barabara, hospital nk licha ya 59years za uhuru. So far Tundu Lissu, alijenga hoja kuntu sana siku moja, alisema " kwa nini licha ya kila chama kuja na ahadi tele, lkn baada ya uchaguzi kuisha hazitekelezeki hivyo kila uchaguzi kuja na ahadi zile zile ?" .akasema lzm tujiulize hilo kwanza, tatizo ni nini ? na tukijua tatizo ndio tuanze nalo. Na msingi mkubwa wa madai ya Tl ni mfumo wa kiuongozi ambao ndio tatizo, n na kimsingi yupo sahihi.
 
..maoni yako yamenifikirisha sana.

..lakini, unadhani CCM huwa wanashinda kwa kuwachamba wapinzani wao, au kwa kutoa ahadi tamu-tamu?
 
Ndio wajipange kujua mtu sahihi wa kuzungumza. Muda sahihi na vielelezo au data kamilifu. Kiukweli Wana Mambo memgi ya msingi ya kuzungumza .Je wataweza,,,? Ikiwa mhusika mkuu alikua Polisi kufuata gari huku akijua masuala ya kipolisi hayajaisha. Ikiwa usiku usiku ndio anapuyanga Kurudi DSM. Je anataka kutoa hotuba freestyle au amekaa na wenzake wakajiandaa kwamba wewe utaomgelea hili Mimi hili huyu hili na yule lile
Nadhani umekwishakujijibu swali lako. Hoja ya awali imethibitika tayari.
 
chini ya awamu hii, siasa za kimapokeo (conventional politics) haziwezi kufanya kazi. inahitajika radical approach ambayo ndiyo haswa Tundu Lissu is the best at.

don't change Tundu into what he's NOT. amefika hapo alipo (kuwa mgombea wa urais kupitia chama kikuu cha upinzani) si kwa kutumia siasa za kimapokeo.

after 60 days of campaigning sisi wapiga kura (wote kutoka CCM na upinzani) tutakuwa tumeshamwelewa Tundu.

go Tundu go.... hit them where it hurts most!!
Siku 60, wakati imetuchukua miaka mitano kulielewa swali la Dr Slaa alipowauliza akina Lisu "Lowasa kaja kama ASSET ai LIABILITY?"
 
Rungwe Aweza shinda kura nyingi kuliko Lisu na ubwabwa anaotembea nao Kuna watu wanapenda ubwabwa kuliko hotuba za Lisu usione Rungwe mjinga akigawa ubwabwa watu wanampa kura
Ndio maana nimekuelekeza huko
 
Back
Top Bottom