Pre GE2025 Kampeni meneja wa Rais 2025 awe Humphrey Polepole, Luhaga Mpina, prof. Kitila Mkumbwa na Ally Bashiru

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Pole pole utoto mwingi, anaweza kuanza kukata mauno wakati wenzake wanasubiri aje afanye presentation,

Luhaga mpina ana stress sana, na ameshafanya maandalizi kuhamia chadema. Pia mgombea ubunge mwenzake wa 2020 amemchukulia mganga. Hii ni baada ya mpina kukataa kumpa mganga hela yake ya kumuosha dawa njia panda saba saa nane usiku hapo jimboni.

Kitila Mkumbo jimbo lake linatosha kumpa kisukari na presha.

Bashiru bado mchanga sana kwenye kusuka mipango, halafu bado ni wa kule msibani
 
Kitila 𝕄𝕜𝕦𝕞𝕓𝕨𝕒 𝕟𝕚 𝕨𝕒 𝕨𝕒𝕡𝕚 𝕙𝕦𝕪𝕠 𝕞𝕓𝕠𝕟𝕒 𝕛𝕚𝕟𝕒 𝕛𝕚𝕡𝕪𝕒?
 
Kwa hiyo tufanyaje
Hao wote uliowataja na ambao hujawawataja ikiwemo rais mwenyewe, hakuna chochote wanachotegemea zaidi ya mbeleko ya vyombo vya dola, na tume isiyo huru ya uchaguzi. Hakuna cha ujenzi wa hoja wala nini.

Unamshuri nn Rais mkuu
 
Mpina huyu huyu waliomtimua bungeni?
 
Recycling kama kawaida ina maana hawa chawa wote wanaokesha hapa hawana kiwango cha hizo kazi? Nashauri angalau tlalalalah ana busara kuna mida akawakilishe au yohana
 
Mameneja wana sifa ila watakayemnadi hana hizo sifa, WaTz si wajinga kiasi hicho! 4R zinafanya kazi gani mpaka sasa, ni geresha tu. Unaona amewakumbatia mpaka sasa ndio wanaofanana naye!
 
Hao wote uliowataja na ambao hujawawataja ikiwemo rais mwenyewe, hakuna chochote wanachotegemea zaidi ya mbeleko ya vyombo vya dola, na tume isiyo huru ya uchaguzi. Hakuna cha ujenzi wa hoja wala nini.

..tatizo Mama Abduli ndiye mgombea asiye na uwezo, mvuto, wala ushawishi, kuliko wote waliowahi kusimamishwa na Ccm.

..Hata uweke kampeni Meneja mwenye uwezo wa malaika, tatizo liko palepale kwamba mgombea wa Ccm ni mbovu.

..Na Dr.Mipango ndiyo kabisa, yeye ni mtu wa kalamu na makaratasi huko kwenye majukwaa na mavumbi sio mahali pake.
 
Maza hana mvuto

..hawezi kujenga hoja pia.

..Mama Samia hawezi kushindana na mgombea wa upinzani aliyewezeshwa kifedha, na kirasilimali, sawa na Ccm.

..huyu Mama akashinda kwasababu ana fedha nyingi za kampeni, wasanii, na vyombo vya dola, sio kwasababu ni mwanasiasa na kiongozi mahiri.
 
Ndiyo anachotegemea
 
Shi

Shida ndo hiyo ,watanzania wengi MKO vzr sana kwa matusi na sio hoja, taifa linapitia wakati ngumu sana
Ni lini kwani Taifa liliwahi pitia kwenye wakati rahisi sana?
 
Si alishasema anapumzika 2025 kutokana na umri umeenda?
 
Ndio maana anatakiwa afanye hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…