Elections 2010 Kampeni ya CUF live on TBC1 Taarab kwa sana

ha1ha!ha!ha!ha! jamaa asema hakuna usalama wa ccm kuna usalama wa ccm
anadai 2005 waliibiwa...hii kali!! Anawachana REDET sasa
 
Ili tuendelee tunahitaji watu, siasa safi na uongozi bora. Ndani ya CCM watu wapo, siasa safi na uongozi bora hakuna ndo maana hatuendelei. Hivyo basi majibu ya kutoka tulipo tunayo sisi watanzania mikononi mwetu. Tunaposhindwa kuyatumia tusiwewalaramishi mitaani na kwingineko. Pigia viongozi makini kura yako hachana na mafisadi.
 
prof kaisha huyo

chadema ndo wanaume


Waulize chadema kuhusu prof watakupa habari zake.... wewe unaipenda chadema lakini jua huyo mgombea wa chadema hamfikii hata robo prof lipumba.
 
anakumbushia REDET walimpa kikwete 2005 80! mwaka huu ni 71!
anasema REDET walifanya utafiti tangu 2006 umaarufu wa kikwete umeshuka ila hawajatangaza!
Anamchana kikwete kukutana na Obama..ha1ha!ha1ha1
 
ha1ha!ha!ha!ha! jamaa asema hakuna usalama wa ccm kuna usalama wa ccm
anadai 2005 waliibiwa...hii kali!! Anawachana REDET sasa

Unajua leo kama 2005 upinzani hususan CUF waliibiwa bara hawakupata kiti hata kimoja? pole yako utajua mwaka huu kama maharage ni mbegu na si mboga baada ya matokeo kutoka na ccm kuibuka kidedea.........
 
Duni haji analalamika sana rafu za uchaguzi.......hii inaconsume muda wao
 
Unajua leo kama 2005 upinzani hususan CUF waliibiwa bara hawakupata kiti hata kimoja? pole yako utajua mwaka huu kama maharage ni mbegu na si mboga baada ya matokeo kutoka na ccm kuibuka kidedea.........

Mkuu sokomoko hii ni kwa mujibu wa Duni haji....
hapa nawakilisha kile ninachokiona kwa manufaa ya wana JF wasio na access ya mkutano huu au kwenye TBC1 au radio
 
duni Haji ansoma documents za tume, kama vielelezo vya documents ya malalamiko kuhusu wizi
 
Anaonyesha vielelezo vya jinsi walivyoibiwa, anaonyesha karatasi za kura na barua za maelekezo za kutoka kwa tume kwenda kwa wachaguzi wasaidizi, anawachana REDET na SYNOVATE tena kwa utabiri wao ni njama za kuiba kura.
 
Na yeye anasema usalama wamepelekwa kusini kudhibiti CUF.. anatuhumu NEC na CCm kusamabaza usalama kudhibiti CUF.
anasema kuna kuna kura 4Mil feki zimesambazwa na anatilia shaka ile orodha ya wananchi 19Mil according to tume, kwao hiyo hesabu haiwezekanai...Ila hili nakumbuka hapa jangwani liliwahi kuzungumzwa
 
Anawakumbusha kura kuwa umasikini wao ni kosa lao kwa kuchagua CCm
 
Ila watu ni wengi, na Duni anaponda JK , Redet, Synovate mbaya ....
Pia anawatuhumu kwa wizi wa kura
Nimependa hii, wangeanza mapema kwa mtindo huu CUF ingekuwa juu kinoma!
Ila tatizo walienda kwa uoga wa kutomuudhi mkulu, kwa ajili ya makubaliano yao ya siri.
 
mabadiliko yanaletwa na wanachi wenyewe..kazi kwao wananchi kuchagua
 
agggggghhhhhhhhhh!!!!!!!!!!!!!RRRRR
hawa watu vipi tena!!! wanaonyesha kadi za ccm na chadema walizopata toka kwa wananchi waliovihama vyama vyao.

Lazima iwaume JF kwa asilimia 90 hivi si habari njema hata kidogo poleni ndio ukubwa.
 
anatoa barua kuonyesha barua ya ccm mafia yenye lengo la kuharibu uchaguzi.........to me hizi ni evidence za rafu za CCM hapa TBC1 wasipokata sijui! Barua yao ya kumpinga msiammizi msaidizi ilitupwa...this iz so bad
 
Wakati CCM ni Mwendo wa Bongo Flava, CUF Taarabu kwa sana.

Jamaa anaipiga nyundo CCM kwa songi la Taarabu, Mwingine kulinda kura kwa mashairi hadi raha jamani

Na nyie hamkukatazwa kutumia kwaya
 
Kamaliza, na anamkaribisha Lipumba jukwaani sasa
 
anaanza kuwashukuru polisi kwa kuwatendea haki safari hii
 
Anaomba kura kwa wananchi wote, kwake na kwa wabunge na madiwani.......hili li lazima angelisema tu.. anatoa sababu za kuomba kuara..
 
ha!ha!ha!ha!ha!..........maisha bomu kwa kila mtanzania badala ya maisha bora!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…