Elections 2010 Kampeni ya CUF live on TBC1 Taarab kwa sana

Elections 2010 Kampeni ya CUF live on TBC1 Taarab kwa sana

ataunda serikali ya wizara 15-20, kama CHADEMA
watakamata mapapa,masangara, na manyangumi ya ufisadi
 
wataanza mchakato wa katiba.........hapa ni kama anamkampenia Slaa..
 
kazungumzia rada...Chenge aombe chichiM waendelee maana hawa jamaa wamempania si mchezo
Lipumba kasema ataunda serikali ya kitaifa......anakazia mkono watu walinde kura
jamaa anawind up!
 
amemaliza, anakampenia wabunge sasa..
Good chance japo nahisi haikuitumia vizuri sana.
mambo ya ngangari sasa ndo yanaendelea hapa..
he iz done, amemaliza hotuba yake..
 
wadau mkutano umekwisha, ni shamrashamra za hapa na pale wakati wengine wakitawanyika...
 
Nami nimeangalia TBC huo mkutano. Wamehudhuria watu wengi sana (nyomi). Profesa na Duni wamemwaga vitu vya uhakika.

Tusubiri jumapili. Ila mimi kura yangu kwa Slaa, na mbunge wa Chadema kwa jimbo ninaloishi.
 
anamchana JK sasa na ahadi zake....Tabora kaoa hadi ya maji hajatekeleza na kaenda kaairudia tena!!
Du!!! Lipumba anashusha data za kutosha, anainisha matatizo ya CCM na ni kwanini wasichague CCM

Hii ni kampeni nzuri sana kwa Dr. Slaa pia. Itawasaidia watu kujua uovu wa CCM na kutoichagua.
 
wadau mkutano umekwisha, ni shamrashamra za hapa na pale wakati wengine wakitawanyika...

Asante sana mkuu kwa kutupa live huo mkutano sisi tusio na acess ya TBC1 kwa wakati huu.
Kama CUF wangekuwa wameungana na CHADEMA basi wangeshinda kwa zaidi ya 80 %. Ila kwa sasa Slaa atashinda kwa kati ya 68% - 75 %.
 
Jamaa upande wa pili wa shilingi japo kwa muda
 
Asante sana mkuu kwa kutupa live huo mkutano sisi tusio na acess ya TBC1 kwa wakati huu.
Kama CUF wangekuwa wameungana na CHADEMA basi wangeshinda kwa zaidi ya 80 %. Ila kwa sasa Slaa atashinda kwa kati ya 68% - 75 %.

Naomba nikuulize kidogo.

1. Mwaka jana kulifanyika uchaguzi wa serikali za mitaa je Chadema walipata kura asilimia ngapi kwenye huo uchaguzi? na je kilikuwa chama cha ngapi kwa wingi wa kura?

Nashukuru nangoja jibu.
 
Back
Top Bottom