anamchana JK sasa na ahadi zake....Tabora kaoa hadi ya maji hajatekeleza na kaenda kaairudia tena!!
Du!!! Lipumba anashusha data za kutosha, anainisha matatizo ya CCM na ni kwanini wasichague CCM
wadau mkutano umekwisha, ni shamrashamra za hapa na pale wakati wengine wakitawanyika...
Asante sana mkuu kwa kutupa live huo mkutano sisi tusio na acess ya TBC1 kwa wakati huu.
Kama CUF wangekuwa wameungana na CHADEMA basi wangeshinda kwa zaidi ya 80 %. Ila kwa sasa Slaa atashinda kwa kati ya 68% - 75 %.
wataanza mchakato wa katiba.........hapa ni kama anamkampenia Slaa..