Elections 2010 Kampeni ya JK ni fiesta

Elections 2010 Kampeni ya JK ni fiesta

kipipili

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2009
Posts
1,587
Reaction score
186
05.jpg

kampeni ya JK Iringa mjini, kweli ni full fiesta maana hadi wazungu wapo kushuhudia burudani
 
Atawaambia kuwa sera zake ni nzuri kiasi hata wazungu wanazipenda na kuzifuatlia
 
:becky::becky::becky: Inazidi Fiesta maana wasanii alokusanya kamzidi Kusaga......uzuri ni buree hakuna kiingilio.....
 
Back
Top Bottom