Habari wakuu,
Siku kadhaa zimepita tangu watu wanaojiita wanaharakati wa mitandao kuwaongoza wananchi kuandaa na kusaini petition yenye lengo la kumdisqualify Diamond platnumz kushiriki tuzo za BET kwa mwaka huu 2021.
Wanaharakati hao waliongoza huko Twitter chini ya Kigogo na Maria Sarungi,, Hapa JF pia wanaojiita wanaharakati walijitokeza kwa kufuatisha mkumbo wa hao watu wa Twitter pasipokujitambua.
Sasa sisi Watanzania wapenda vya kwetu na burudani, tunawataka hao waliosaini petition ikavunja rekodi watupatie mrejesho kwamba hali iko vipi huko.