Kampeni ya kum-disqualify Diamond Platnumz BET Awards, tunahitaji mrejesho

Kampeni ya kum-disqualify Diamond Platnumz BET Awards, tunahitaji mrejesho

Na hicho ndio kimefanya nimdharau sana huyo maria sarungi kumbe ana upeo mdogo kuliko beki 3 wangu naemuonaga bonge la kiaz
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu huyu binti wa prof wa Rorya?
Elokamano, Nyasai
 
Nilikua tu naskia kuna kampeni nikajua inafanywa na madogo wanaoshinda insta nikaja kuwa surprised eti kumbe maria sarungi na Lema nao wanafanya hii kampeni.

Aisee nimewadharau kuliko nilivyo wahi kumdharau mtu yeyote maana nilikuaga nawaheshimu sana nikijua wanaupeo mkubwa na wanajielewa kumbe viazi sana aisee. Au Lema maisha ya ukimbizi ndo yamemstress kiasi hiki?
Jamaa wanabeba stress kali sana mioyoni mwao. Usiwaamini sana wanachosema.
 
Na hicho ndio kimefanya nimdharau sana huyo maria sarungi kumbe ana upeo mdogo kuliko beki 3 wangu naemuonaga bonge la kiaz

Amekosa nin mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
mpe Heshima beki tatu, hapo kwako ajifunze Maisha akili zimwingie
Na hicho ndio kimefanya nimdharau sana huyo maria sarungi kumbe ana upeo mdogo kuliko beki 3 wangu naemuonaga bonge la kiaz
 
Wale ni watu wakudandia matukio,unaweza kukuta sasa hivi wamesharukia kwenye tukio lingine na wamesahau kabisa kua walikua na kampeni ya kumdisqualify Diamond kwenye BET award.
Teuzi za wakuu wa wilaya zimewagawa makundi, ngoja upepo huo upite kwanza
 
Inabidi Sarungi atoe Kwanza mrejesho wa "The Hague" kabla ya huu wa Diamond.
 
Umeandika point sn hapa
Wanaharakati ambao wanatakiwa kusimamia demokrasia na haki za watu za kikatiba kuchagua viongozi wanaowataka, wanataka kum disqualify Diamond kwa sababu alitumia haki yake ya kikatiba kum support Magufuli?

What's the beef?

Kwa nini hawajataka kumu impeach Samia aliyekuwa mgombea mwenza wa Magufuli?
 
Back
Top Bottom