Ukiona kimya ujue jamuhuri ya watu wa Twita ipo nyuma kwa mabao 3, dk 89 ya kipindi cha pili cha mchezo!
Sagia kunguniHabari wakuu,
Siku kadhaa zimepita tangu watu wanaojiita wanaharakati wa mitandao kuwaongoza wananchi kuandaa na kusaini petition yenye lengo la kumdisqualify Diamond platnumz kushiriki tuzo za BET kwa mwaka huu 2021.
Wanaharakati hao waliongoza huko Twitter chini ya Kigogo na Maria Sarungi,, Hapa JF pia wanaojiita wanaharakati walijitokeza kwa kufuatisha mkumbo wa hao watu wa Twitter pasipokujitambua.
Sasa sisi Watanzania wapenda vya kwetu na burudani, tunawataka hao waliosaini petition ikavunja rekodi watupatie mrejesho kwamba hali iko vipi huko.
Wako hoiiUkiona kimya ujue jamuhuri ya watu wa Twita ipo nyuma kwa mabao 3, dk 89 ya kipindi cha pili cha mchezo!
Na hicho ndio kimefanya nimdharau sana huyo maria sarungi kumbe ana upeo mdogo kuliko beki 3 wangu naemuonaga bonge la kiazWanaharakati ambao wanatakiwa kusimamia demokrasia na haki za watu za kikatiba kuchagua viongozi wanaowataka, wanataka kum disqualify Diamond kwa sababu alitumia haki yake ya kikatiba kum support Magufuli?
What's the beef?
Kwa nini hawajataka kumu impeach Samia aliyekuwa mgombea mwenza wa Magufuli?
Mimi si mshabiki wa Magufuli, si mshabiki wa Diamond.Na hicho ndio kimefanya nimdharau sana huyo maria sarungi kumbe ana upeo mdogo kuliko beki 3 wangu naemuonaga bonge la kiaz
Lakini anawahudumia hapo mpe heshima yake beki tatu, mama wa familia ya mtu baadae huyo.Na hicho ndio kimefanya nimdharau sana huyo maria sarungi kumbe ana upeo mdogo kuliko beki 3 wangu naemuonaga bonge la kiaz
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Labda kamanda Erythrocyte atatuhabarisha.
🤣🤣🤣🤣🤣Habari wakuu,
Siku kadhaa zimepita tangu watu wanaojiita wanaharakati wa mitandao kuwaongoza wananchi kuandaa na kusaini petition yenye lengo la kumdisqualify Diamond platnumz kushiriki tuzo za BET kwa mwaka huu 2021.
Wanaharakati hao waliongoza huko Twitter chini ya Kigogo na Maria Sarungi,, Hapa JF pia wanaojiita wanaharakati walijitokeza kwa kufuatisha mkumbo wa hao watu wa Twitter pasipokujitambua.
Sasa sisi Watanzania wapenda vya kwetu na burudani, tunawataka hao waliosaini petition ikavunja rekodi watupatie mrejesho kwamba hali iko vipi huko.
Na kamanda lissu piaNilikua tu naskia kuna kampeni nikajua inafanywa na madogo wanaoshinda insta nikaja kuwa surprised eti kumbe maria sarungi na Lema nao wanafanya hii kampeni.
Aisee nimewadharau kuliko nilivyo wahi kumdharau mtu yeyote maana nilikuaga nawaheshimu sana nikijua wanaupeo mkubwa na wanajielewa kumbe viazi sana aisee. Au Lema maisha ya ukimbizi ndo yamemstress kiasi hiki?