[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na hicho ndio kimefanya nimdharau sana huyo maria sarungi kumbe ana upeo mdogo kuliko beki 3 wangu naemuonaga bonge la kiaz
Weee jamaa fala Sana MPUMBAVU kabisa.Na hicho ndio kimefanya nimdharau sana huyo maria sarungi kumbe ana upeo mdogo kuliko beki 3 wangu naemuonaga bonge la kiaz
Haya matakataka ndo yananyanyasa wafanyakazi wa ndani ..pumbavu kabisa jamaa Hilo.Lakini anawahudumia hapo mpe heshima yake beki tatu, mama wa familia ya mtu baadae huyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa wanabeba stress kali sana mioyoni mwao. Usiwaamini sana wanachosema.Nilikua tu naskia kuna kampeni nikajua inafanywa na madogo wanaoshinda insta nikaja kuwa surprised eti kumbe maria sarungi na Lema nao wanafanya hii kampeni.
Aisee nimewadharau kuliko nilivyo wahi kumdharau mtu yeyote maana nilikuaga nawaheshimu sana nikijua wanaupeo mkubwa na wanajielewa kumbe viazi sana aisee. Au Lema maisha ya ukimbizi ndo yamemstress kiasi hiki?
Na hicho ndio kimefanya nimdharau sana huyo maria sarungi kumbe ana upeo mdogo kuliko beki 3 wangu naemuonaga bonge la kiaz
Na hicho ndio kimefanya nimdharau sana huyo maria sarungi kumbe ana upeo mdogo kuliko beki 3 wangu naemuonaga bonge la kiaz
Teuzi za wakuu wa wilaya zimewagawa makundi, ngoja upepo huo upite kwanzaWale ni watu wakudandia matukio,unaweza kukuta sasa hivi wamesharukia kwenye tukio lingine na wamesahau kabisa kua walikua na kampeni ya kumdisqualify Diamond kwenye BET award.
Kwa kifupi wamepuuzwa.(upuuzi wao umepuuzwa)
Wanaharakati ambao wanatakiwa kusimamia demokrasia na haki za watu za kikatiba kuchagua viongozi wanaowataka, wanataka kum disqualify Diamond kwa sababu alitumia haki yake ya kikatiba kum support Magufuli?
What's the beef?
Kwa nini hawajataka kumu impeach Samia aliyekuwa mgombea mwenza wa Magufuli?