Kampeni ya kutowahonga wanawake inawanufaisha wanawake wenye vipato na kuwaumiza walalahoi na fukara


Pitia Mafinga mpaka makambako ukaona Wanawake wenye Pesa wanavyooa Vijana. Ukitoka hapo fika mpaka ubaruku Mbeya.
 
nikuulize kwanini nawao hawapendi mwanaume masikini? ili twende 50/50 na sisi wanaume tukatae wanawake masikini

Hao wanaotaka 50*50 ndio wanawaingiza wenzao mkenge Kwa sababu washaona wao wanauwezo WA Kupata mwanaume yeyote kupitia vipesa vyao. Yaani hawategemei Mwanaume.
Lakini hawa Binti zetu walalahoi itakuwaje
 
Pitia Mafinga mpaka makambako ukaona Wanawake wenye Pesa wanavyooa Vijana. Ukitoka hapo fika mpaka ubaruku Mbeya.
Umeelewa nilichokiandika? Kilichotokea hao vijana ni pesa tu na hakuna mapenzi yoyote hapo.. Hawana tofauti na Hawa wavuvi wetu wanaoa wabibi wa kigeni
 
Mapenzi na Mali hivi ni vitu viwili tofauti, aghalabu uwe hodari kwenye kimoja wapo na ukubali kuachia kingine.
vyote kwa sambamba ni ngumu kufanyika kwa wakati ule ule.

Ingawaje vyote hutegemeana kwa asilimia kadhaa, pengine kwa asilimia 35% huna Mali hupati mahaba ya kuigiza.
mwenye mahaba ya dhati basi amenyimwa mali. Siku zote huwezi kupewa vyote katika maisha. Utapewa kile na utanyimwa hiki.
 

70% βœ”οΈ
 
Kampeni za hao miamba ni PIGA NYETO okoa KIBUNDA hao wadada wenye pesa sioni wakitoboa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…