Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sanaUmenchekesha adi nimepaliwa
Kweli nikitulia nitaisoma nipate elimu ya kumtunza huyu jamaa.Ujue inakuhusu...
Haha.wazee nuksi...Ila uzee mbaya,wazee vijana wanatumia visisimuziDuh!tunakaa nayo tu MIPINI bila kujua ulinzi wake!yote kwa yote ila hilo la umri sidhani kama linastahili kuwa katika orodha ya maadui coz halikwepeki unabaki kusikia wazee wanasema enzi zangu mie so la umri limekaa kimajuto.
Yaah!na hizo viagra zinawarestisha in peace kwa haraka sana coz msukumo wa damu unakuwa mkubwa wengi wanafia vifuani kwa vidada hawataki wazee wenzao wana msemo wao"gari mbovu inavutwa na gari nzima".Haha.wazee nuksi...Ila uzee mbaya,wazee vijana wanatumia visisimuzi
Hii ni kama ile kampeni ya mazingira? "Tunza uume ukutunze" au hii ni nyingineDuuh..Kweli kutunza uume ni kazi..Maelezo yote hayo..
Nimejaribu kusoma hadi nikahisi kizungu zungu,du,! Na urefu wote huo, ni noma,shikamoo uume!
Muhusika hayupo..KasafiriWakusoma naye si unaye Huyo muhusika mkuu
Teh teh..Hii nadhani itakuwa tunza uume uheshimiweHii ni kama ile kampeni ya mazingira? "Tunza uume ukutunze" au hii ni nyingine
Hii tumeipokea vizuri sana tena kwa mikono miwili ni tofauti sana na ya tezidume.Hii ni kama ile kampeni ya mazingira? "Tunza uume ukutunze" au hii ni nyingine
Uko wapi?Hii ni kama ile kampeni ya mazingira? "Tunza uume ukutunze" au hii ni nyingine
😹😹😹😹Uko wapi?