PreGE2025 Kampeni ya 'Mama Asemewe' yaadhimisha miaka 4 ya Rais Samia kwa ziara kwenye daladala

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Katika kuazimisha Wiki ya Mama, ambayo inatambua na kuenzi juhudi za Rais Samia Suluhu Hassan, Viongozi na wanachama wa Kampeni ya Mama Asemewe walifanya ziara ya kipekee kwa abiria wa daladala mkoani Dar es Salaam, wakijumuika na wananchi kuzungumza na kuwafahamisha kuhusu mafanikio ya Rais Samia katika kipindi cha miaka minne ya utawala wake.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Ziara hiyo, iliyozungumzia miradi ya maendeleo, juhudi za kuboresha huduma za jamii, na mchango mkubwa wa Rais Samia katika kukuza uchumi wa nchi, iliongozwa na Makamu mwenyekiti wa taasisi ya samia for us na kampeni ya Mama asemewe Ndg Verynancy mrema, Katibu Mkuu wa Taasisi ya Samia For Us, Ndg. Dwight John Danda, pamoja na Naibu Katibu Mkuu wa Taasisi hiyo, Ndg. Anna Kivuyo.

well done mama asemewe team 💪 👍
 
Kwamba taasisi ya mama asemewe seriously kbs yan asemewe nn kama kuna vitu kawafanyia watz si vinaonekana kwa macho kwan mpk tena watu waanze kuwaambia watz sjui mama mzanzibar kafanya hili na lile hz taasisi uchwara hz znatoa wp pesa za kuchezea ivi au ndo mara hela znabadilishwa sahihi watu wanajchotea, mara kuchora upya raman watu wanajchotea ndo znawalipa wapumbavu kama hawa nn?
 
20240929_170116.jpg
 
Imezidi sasa hv mwenyewe anafurahia haya masifa!ifike mahali awakataze
 
Katika kuazimisha Wiki ya Mama, ambayo inatambua na kuenzi juhudi za Rais Samia Suluhu Hassan, Viongozi na wanachama wa Kampeni ya Mama Asemewe walifanya ziara ya kipekee kwa abiria wa daladala mkoani Dar es Salaam, wakijumuika na wananchi kuzungumza na kuwafahamisha kuhusu mafanikio ya Rais Samia katika kipindi cha miaka minne ya utawala wake.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Ziara hiyo, iliyozungumzia miradi ya maendeleo, juhudi za kuboresha huduma za jamii, na mchango mkubwa wa Rais Samia katika kukuza uchumi wa nchi, iliongozwa na Makamu mwenyekiti wa taasisi ya samia for us na kampeni ya Mama asemewe Ndg Verynancy mrema, Katibu Mkuu wa Taasisi ya Samia For Us, Ndg. Dwight John Danda, pamoja na Naibu Katibu Mkuu wa Taasisi hiyo, Ndg. Anna Kivuyo.

Ccm haina haya wala aibu
 
Back
Top Bottom