Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
well done mama asemewe team 💪 👍Katika kuazimisha Wiki ya Mama, ambayo inatambua na kuenzi juhudi za Rais Samia Suluhu Hassan, Viongozi na wanachama wa Kampeni ya Mama Asemewe walifanya ziara ya kipekee kwa abiria wa daladala mkoani Dar es Salaam, wakijumuika na wananchi kuzungumza na kuwafahamisha kuhusu mafanikio ya Rais Samia katika kipindi cha miaka minne ya utawala wake.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Ziara hiyo, iliyozungumzia miradi ya maendeleo, juhudi za kuboresha huduma za jamii, na mchango mkubwa wa Rais Samia katika kukuza uchumi wa nchi, iliongozwa na Makamu mwenyekiti wa taasisi ya samia for us na kampeni ya Mama asemewe Ndg Verynancy mrema, Katibu Mkuu wa Taasisi ya Samia For Us, Ndg. Dwight John Danda, pamoja na Naibu Katibu Mkuu wa Taasisi hiyo, Ndg. Anna Kivuyo.
Ccm haina haya wala aibuKatika kuazimisha Wiki ya Mama, ambayo inatambua na kuenzi juhudi za Rais Samia Suluhu Hassan, Viongozi na wanachama wa Kampeni ya Mama Asemewe walifanya ziara ya kipekee kwa abiria wa daladala mkoani Dar es Salaam, wakijumuika na wananchi kuzungumza na kuwafahamisha kuhusu mafanikio ya Rais Samia katika kipindi cha miaka minne ya utawala wake.