Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Huduma zimekwama kwenye halmashauri, wenyeviti wa vijiji viongozi wa kata hadi wilaya wapo ofisini hakuna anayekwenda kutatua kero za wananchi. Viongozi wengi wa vijiji awakuchaguliwa na wananchi bali walipitishwa kinyemela 2019. Leo hii badala yakuhudumia wananch wanajihudumia.
Hali hiyo pia ipo kwa wabunge, most of wabunge wana miaka mitatu sasa hakuna anayekanyaga jimboni kwani wanajua 2025 watapelekwa watu watakaoonekana wanafaa na viongozi. Wale wote waliopewa chance na mzee JPM siku zao zimehesabika
Kukosekana kwa accountability kumepelekea wananchi kurejesha kadi za chama tawala mbele ya wakataliwa.je safari hii iliyoanzia Mtwara inaelekea Tanga inaratibiwa na wanaotaka madaraka ndani ya chama au inaratibiwa na wapinzani?